- Thread starter
- #121
Waha hawana mvuto wa KISIASA
wachaga ndio wana mvuto wa kisiasa?
Waha hawana mvuto wa KISIASA
Ok, ila nijuavyo Marekani nyota inawakilisha vijinchi vinavyoiunda hiyo nchi, mkuu ninyi alama ya nyota ina-symbolize nini
Huwa sishabikii siasa lkn hapa ninalo neno, HATA KAMA SIIJUI SAYANSI YA SIASA ikiwa chama cha siasa hakisemi wazi kinataka kushika Dola hicho ni
chama au NGO?
chadema inayoongozwa na padri wa kikatoliki alieasi kanisa
Kamkusanyiko!ni saccos ya mtei na mbowe
inawakilisha nchi
wewe kijana uwezo wako ni mdogo sana , huna uwezo wa kujenga hoja kabisa ! Kumbe Kama aliasi umewezaje kumhusisha na ukatoliki ? Ni wapi ulisikia kadi ya cdm inabadilishwa kwa rozari ? Ya ujiji hukuyasikia wewe ? unamfahamu SALUM MWIGAMBA ? shame on you !
Tanzania, Zanzibar au Tanganyika Mkuu?
Vyama vya TISS !
Kamkusanyiko!
Kamkusanyiko!
CCJ ilianza hivi hivi kwa mbwembwe tena tukajua ndio mkombozi wa wanyonge, leo hii viongozi wote wa CCJ wako CCM. Ndio maana mpaka sasa sijaweza kuona chama makini cha upinzani Tanzania. Wote ni waganga njaa tu. Lakini kwa hawa ACT naona kama wako kimaslahi binafsi zaidi. Nawaonea huruma Watanzania wenzangu tunaodanganyika kirahisi na hivi vyama..
mbona chadema mnaumia sana kuanzishwa kwa ACT TANZANIA? TULIA DAWA IWAINGIE VIZURI MLIYATAKA WENYEWE,, nakumbaka hata SLAA MSALITI bado ana kadi ya CCM chama kikifa atarudi ccm,
Ok, mkuu naomba nikuulize swali, kuna current issues vipi mtazamo wenu na msimamo juu ya ushoga kabla hatujawapa ridhaaTanzania bara na visiwani
wala hakuna anayeumia mjomba , kinachofanyika hapa ni ufafanuzi tu KWAMBA ACT NI CHAMA KILICHOANZISHWA NA WASALITI , MAMLUKI , WACHUMIA TUMBO , WAZANDIKI NA MASALIA WALIOTIMULIWA NA CDM , NA KWA VILE UKITIMULIWA NA CHAMA CHA MUNGU BASI BILA KUPEPESA MACHO NI KAMA UMETIMULIWA KILA MAHALI ( UMETIMULIWA KAMA SHETANI , HATAKIWI POPOTE ! )