Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

na chadema kinachoongozwa na padri ni cha dini gani?

Padri aliyeasisi CCBRT ambapo hadi mama yako atatibiwa FISTULA, Padri aliyepeleka neema Karatu, Padri aliyeingiza wabunge wengi Bungeni, Padre anayetumia 80% ya muda wake kuiongoza kwa mafanikio CHADEMA ana maana sana kuliko Mashehe wanafiki wa UJIJI waliotuletea ACT kutugawa kidini.
 
kahtaan mwanao wa kufikia Matola yuko wapi??

Njoo umuone mwanangu mimi wa kufikia huyu,nimempa jina anaitwa the invisble,ila akinishinda mimi kama baba nampa radhi tu kama ulivyofanya wewe

watoto hawa gongo zinawasumbua sana

Teh teh teh!
Nakusoma mkuu THE BIG SHOW
Hawa wana wa kufikia wengi wao wamelaaniwa!
Bila fimbo na makofi ya mgongo hawaendi!
We chapa tu!
Mi.wa kwangu Matola huwa natumia rungu kupiga kichwa! Manake makofi na fimbo kazizoea!
 
Last edited by a moderator:
Padri aliyeasisi CCBRT ambapo hadi mama yako atatibiwa FISTULA, Padri aliyepeleka neema Karatu, Padri aliyeingiza wabunge wengi Bungeni, Padre anayetumia 80% ya muda wake kuiongoza kwa mafanikio CHADEMA ana maana sana kuliko Mashehe wanafiki wa UJIJI waliotuletea ACT kutugawa kidini.

Umesahau kuiba mke wa mtu,umesahu kujikopesa pesa za chama.
 
Uongozi wa chama hiki ni wa akina nani? Kama ni wa ule wenye uroho wa madaraka na Posho za CCM mtakufa baada ya kupokea hela kutoka CCM 2015 kupunguza nguvu za upinzani. Baada ya hapo tunawazika rasmi; mtambue zama hizi c kama zile , watu wamesoma na wanaelewa mambo, nani mmugeuze mtaji wenu? Kila la Kheri ZZK
 
Karibu ACT. Lakini kumbuka imekichukua chama cha CHADEMA miaka ishirini kujijenga na kufikia hapa kilipo kwa sasa. Msitarajie mteremko, kazi ni ngumu. Na je nini tofauti yenu na vyama vingine vya upinzani ambavyo vipo tayari ulingoni? Ni kwa nini hamkuona umuhimu wa kuunganisha nguvu zenu na vyama vilivyo na wabunge tayari ili kumpinga mkoloni CCM? Hamuoni kwa kuanzisha chama kingine mnagawa kura za wapinzani na hivyo kuipa kura ya turufu CCM?

Tiba

Mkuu tiba huwezi kuchanganya mafuta na maji,chadema ni saccos,ACT ni chama cha siasa.
 
Teh teh teh!
Nakusoma mkuu THE BIG SHOW
Hawa wana wa kufikia wengi wao wamelaaniwa!
Bila fimbo na makofi ya mgongo hawaendi!
We chapa tu!
Mi.wa kwangu Matola huwa natumia rungu kupiga kichwa! Manake makofi na fimbo kazizoea!

ha ha ha ha

unajua kahtaan kuishi na watoto wa kufikia kama Matola na the Invisible kazi sana

Hawana adabu hawa,dawa yao nui kuchapa rungu tuh,,usikute hawa hata tunapokuwa faragha na wenzetu wakawa wanakuja kupiga chabo :faint2: :faint2:,,teh teh teh laana hawa
 
Naona mmekutana wote wanafiki wakubwa! nimeshaanza kujua kwa nini mlikuwa mnamsakama sana Mtoi na matokeo yake akawabana mkashindwa kuleta ushadi kumbe mlikuwa mnataka muwe nae ACT allince for Cowards and Traitors.
 
Last edited by a moderator:
nimeipenda hii "kila mwanachama anatakiwa atambue kila kazi ya chama inatakiwa kuwa shirikishi na ya uwazi", najiuliza hivi hawa kwanini hawakufanya usaliti wao kwa uwazi na shirikishi?

Wasingeweza kufanya usaliti kwa njia shirikishi kwa sababu nia yao kipitia ccm ilikuwa ni kumuweka mwenyekiti chaguo la ccm ambao ndio walikuwa wamewatuma kuleta mpasuko chadema. wasaliti watakuwa na kazi ya ziada kudhihirisha kuwa usaliti wao nia ilikuwa kukimega chama ili kiwe vipande na kubaki na pande lao.
 
act ni kitengo cha ccm cha kuivuruga Chadema na shughuli zake zote zinagharamiwa toka Lumumba.
 
Kaanziasha ili apate kile alichokua anakihitaji Chadema ,,,,uongozi ngazi ya juu ....

Ngoja na mm nianza kuangalia Taratibu na Faid za kua na chama cha siasa ,,,, huweza ikaniruhusu mm na familia yangu kua na chama chetu
 
Naona mmekutana wote wanafiki wakubwa! nimeshaanza kujua kwa nini mlikuwa mnamsakama sana Mtoi na matokeo yake akawabana mkashindwa kuleta ushadi kumbe mlikuwa mnataka muwe nae ACT allince for Cowards and Traitors.

We mke wa mtoi!
Hebu nenda kajifunze kuchamba na maji kwanza!
Huyo mtoi tumuandame amekuwa nani yeye!
Huko tulichofanya ni kumpa ukweli wake tu!.manake unafiki hatutaki.

Na huyo jamaa chadema imemuharibu vibaya kiasi kwamba hata yale meno yake anayapaka rangi aonekane kama wao!

Sasa apewe ukweli mwengine!
Uwashwe wewe!
Au nikuitie mwanangu wa haramu Matola akukune!

Mnfnsssssss!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tiba huwezi kuchanganya mafuta na maji,chadema ni saccos,ACT ni chama cha siasa.
ZZK amekupa sh. ngapi? Hii dili ya ZZK kuhakikisha anakuwa mwenyekiti wa chama chochote kabla hajastaafu siasa. Maana unakuwa mbishi kama mkojo wa asubuhi.
 
Chama Chenye alama ya Nyota,kilizinduliwa MSIKITINI kwanza ndo kikaletwa uraiani

Mtoto wa nje wa mchungaji utamjua tu!
Sasa we ulikuwa hupendi! Sio?

Ulitaka vyama vyoote vianzishwe na viongozi wa makanisa walio torosha wake za watu na KUWAWEKA VIMADA!

Ambao kazi yao ni kufanya promotion za Gongo na mambo yasiofaa!

We na huo uparoko wako mtaishia kuimba kwaya tu!
Lkn suala la kuongoza nchi mtaliota tu!
 
Kuna tetesui kuwa ACT ni mbadala wa ccj na kwamba lowasa anahofia kutolewa ccm ndo maana ameanzisha chama hiki huku akisikilizia uelekeo wa ccm,halafu nasikia na zito kabwe yupo ndani ya hiki chama pamoja na viongozi mbalimbali hata waliopo chadema mpaka sasa,.Yetu masikio na macho ngoja tuone hali itakuwaje
 
Utaendelea kupata tetesi kila siku ndio maana unaamini CCJ na CCK ni vya 6 lakini mpaka leo anadunda CCM.
 
Back
Top Bottom