Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

Kwa nini ccm iliruhusu uwepo wa upinzani ikiwemo chadema halafu chadema hawataki kuiona ACT ikisajiliwa na kuungwa mkono?

Je chadema ikishika dola ,vyama vya upinzani vitapona kweli au ndio watachinjiwa baharini?
 
Tukisema chadema. ni chama cha madikteta na wakanyaga demokrasia tutakuwa tumekosea?
 
Ukweli ni kuwa watanzania wengi wanakiu ya kufanya mabadilko ya kweli na si kubadili walaji(wezi) maana katika mikoa mitatu ambayo nimepita kwa maana ya Kigoma ,Tabora na Morogoro,Kila kona mjadala ni ACT , watu wameipokea kwa matumaini makubwa sana,watu wanaiunga mkono hasa vijana na wanawake,
mihimu ACT msitufanyie kama tuliyofanyiwa na vyama vilivyotangulia na kufa baada ya kukiuka misingi yake.
binafsi nimehamia ACT lkn kama hakutakuwa na demokrasia ya kweli,tutawaacha mfe kama tulivyoiacha chadema.
 
Ukweli ni kuwa watanzania wengi wanakiu ya kufanya mabadilko ya kweli na si kubadili walaji(wezi) maana katika mikoa mitatu ambayo nimepita kwa maana ya Kigoma ,Tabora na Morogoro, Kila kona mjadala ni ACT , watu wameipokea kwa matumaini makubwa sana,watu wanaiunga mkono hasa vijana na wanawake,
mihimu ACT msitufanyie kama tuliyofanyiwa na vyama vilivyotangulia na kufa baada ya kukiuka misingi yake.
binafsi nimehamia ACT lkn kama hakutakuwa na demokrasia ya kweli,tutawaacha mfe kama tulivyoiacha chadema.
inawezekana kweli act inajadiliwa, lakini inategemea inajadiliwa kuhusu nini na nani hao wanaojadili? unajua hata kikombe cha babu wa loliondo kilijadiliwa sana, si tu kighoma, tabora na morogoro ila nchi nzima. leo kikombe cha babu kiko wapi? kama wanaojadili ni WadiniKoloni type za kina bigshow na simiyuyetu then unategemea kuna lolote la maana kwenye huo mjadala?

inawezekana pia wanachojadili ni kuhusu sera ya kuruhusu ushoga ambayo Dr Kitila Mkumbo ameitaja kama sera muhimu ya act
 
Back
Top Bottom