Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.
Watu wengine hampendi kuambiwa ukweli!
Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.
na chadema kinachoongozwa na padri ni cha wakristo?
Chadema ndio nn?
Waangalie tuh chama chao kisiwe na UDIINI NA UKABILA KAMA CHAMA CHA WACHAGA WA CHADEMA
Chagga Development Manifesto
Ingia act kwa miguu yote ndo mkombozi wetu sisi waislam
Hiki sikifahamu kwa kweli
kile cha mbowe na mkwe wake mtei
Ni nchi lakini ni mwisho wa Reli.............kama Wachaga ni wabaguzi na Waha ni wabishi sana ndio maana wanaishia kuwa wasalitikwa hiyo kigoma sio tanzania? nyie wachaga wa chadema ni wabaguzi sana
mashoga hawana nafasi act
Hata hiki pia sikijui wacha niende zangu act nikajiunge na wapigania haki zetu waislam
CUF imkushinda? Mbona inapigania haki zenuHata hiki pia sikijui wacha niende zangu act nikajiunge na wapigania haki zetu waislam
Malengo ya chama cha upinzani yanatakiwa kuwa ni kupambana na chama kilichopo madarakani.
Huwezi kuanzisha chama cha upinzani ili kupambana na chama kingine cha upinzani halafu ukapata uungwaji mkono na umma.
ADC kilianzishwa kwa ajili ya kudumaza CUF lakini matokeo yake ADC haipigi hatua yeyote ile, kama CUF inadumaa basi ni kwa makosa ya CUF yenyewe.
Hiki ATC hakiwezi hata kufikia kiwango cha ADC kwa sababu kinashambulia chama kikuu cha upinzani waziwazi, tofauti na ADC walikuwa wanafanya strategies kwa usiri.
kile cha vurugu na maandamano