- Thread starter
- #181
Ni nchi lakini ni mwisho wa Reli.............kama Wachaga ni wabaguzi na Waha ni wabishi sana ndio maana wanaishia kuwa wasaliti
kigoma ni tanzania na wanaishi watanzania. nyie wachaga acheni ubaguzi
Ni nchi lakini ni mwisho wa Reli.............kama Wachaga ni wabaguzi na Waha ni wabishi sana ndio maana wanaishia kuwa wasaliti
Sitaki kujua chama kingine zaidi ya ACT wakombozi wetu waislam
mi naenda kujiunga na chadema chama cha mapadri na wachungaji watetezi wetu wakristo
Mbona sikuelewi msimamo mkuu
Mkuu unamsubiri nani sasa.Tunawafuatilia kwa karibu tuone kama mna mpya
Mkuu unamsubiri nani sasa.
huwezi kunielewa we kilaza
Mm sijakutukana mbona unaniita Kilaza
natafuta kujua zaidi kuhusu chama chetu kipya kipendwacho cha act na si vinginevyo
Tulia wewe msaliti huo ndo ukweli...Tunawapa mwaka mmoja tuu, baada ya hapo kushnei..
Suala la "ukanda" ni ajenda iloanzishwa na CCM kama mtaji wao ili kuwapata wajinga wenzao!!!!!Hasa pale vinapojijenga kwa kutumia dini na ukanda
Umeeleza nini sasa hapa?Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.
Ndivyo ilivyo mkuu, Lakini wamekosea.Kumbe ndiyo maana hawa Lumumba bk 7 wanakishadadia!!!!...nilikuwa nashangaa kulikoni???...
Karibu ACT. Lakini kumbuka imekichukua chama cha CHADEMA miaka ishirini kujijenga na kufikia hapa kilipo kwa sasa. Msitarajie mteremko, kazi ni ngumu. Na je nini tofauti yenu na vyama vingine vya upinzani ambavyo vipo tayari ulingoni? Ni kwa nini hamkuona umuhimu wa kuunganisha nguvu zenu na vyama vilivyo na wabunge tayari ili kumpinga mkoloni CCM? Hamuoni kwa kuanzisha chama kingine mnagawa kura za wapinzani na hivyo kuipa kura ya turufu CCM?
Tiba
acha mambo ya dini jenga hoja
Kila la kheri ACT, ua hao chadema waongo na wazushi wakubwa.