Kwahiyo unaamini ufisadi unatokana na kusafiri?Kama ni kukwama basi tumekwama pabaya, naamini unanufaika, na kama unufaiki basi kazi ipo.
Kwahiyo unaamini ufisadi unatokana na kusafiri?Kama ni kukwama basi tumekwama pabaya, naamini unanufaika, na kama unufaiki basi kazi ipo.
Naona wengi mna-exaggerate mambo! Kwanza, lengo la safari ya JK kwenda US si ili kwamba aende CNN.. kuna kikao cha wakuu wa nchi mbali mbali duniani ambacho kinaendelea na yeye ameenda kwa ajili hiyo.blah blah blah blah
Presidential trip inakua na watu wengi, wanabeba pesa nyingi sana, we need to do an in depth analysis on return on invetiment
Nchi yenye potential za Tanzania, inahitaji kitu kimoja tu kuweza kupata watalii na investors wengi, na cho ni good governance and enabling factors to invest, sio rais kutembeza bakuli kama matonya
there is no use of rais kuzinguka huku nyumbani hatuna huduma, uwazi, integrity wala ability to deliver
Chema chajiuza, Kibaya chajitembeza.... at the moment naona rais anajitembeza
Tatizo ni kwamba wengi wenu default setting ni kubisha kila kitu... hata hivyo, nawasifu manake kazi mnayo... miaka 10 unabisha tu... unabisha tu!!!Freeland,
..umepatia haswa.
..siyo kila mahali Raisi anatakiwa aende, au awashike mkono watendaji/wateule/wasaidizi wake.
..kinachoendelea hapo ni kutengeneza mazingira ya RUSHWA kwamba hakuna jambo linalowezekana nchi hii mpaka lipitie mikononi mwa Raisi.
..Raisi anakwenda huko CNN na kukaa kikao na maofisa wawili toka CNN?! Tena kuonyesha kwamba maofisa wenyewe hata hawatilii maanani kikao hicho unawaona hapo they are no taking any notes.
cc NasDaz
Naona wengi mna-exaggerate mambo! Kwanza, lengo la safari ya JK kwenda US si ili kwamba aende CNN.. kuna kikao cha wakuu wa nchi mbali mbali duniani ambacho kinaendelea na yeye ameenda kwa ajili hiyo.
Kwa upande mwingine, vikao vya UN mara nyingi huendeshwa kwa session... si kwamba vikianza, ndo non-stop! Sasa tatizo lio wapi kwa JK kwenda CNN muda ambao hana kikao? Alichofanya yeye ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja... hata kama JK asingekuja kwenye vikao vya UN, bado TIC na TIB wangeenda... in contrast, hata kama TIB na TIC wasingekuwa na business yoyote in US, JK angeenda kwa ajili ya UN meetings. Kutokana na hilo, wakaamua kuunganisha na kuwa safari moja!
Mwisho umemalizia methali ya chema chajiuza... with due respect mkuu wangu, sitaki kuamini kwamba hadi leo hii bado methali hiyo ina maana yoyote kwako! Achana na methali za enzi za Mwalimu... they mean nothing in a modern world!
Au ulitaka akutane na Turner mwenyewe ndipo uone amekutana na the right person!
Tatizo ni kwamba wengi wenu default setting ni kubisha kila kitu... hata hivyo, nawasifu manake kazi mnayo... miaka 10 unabisha tu... unabisha tu!!!
JokaKuu, tatizo la JK kwenda CNN lipo wapi? JK yupo Marekani kutokana na vikao vya wakuu wa nchi mbalimbali vinavyoendelea hapa. Vikao vya UN havipo non-stop... sasa muda ambao hakuna vikao kuna tatizo gani kwa JK kwenda CNN? Hoja yenu ingekuwa na mashiko ingekuwa JK amefunga safari kutoka Dar hadi New York kwa ajili hiyo! By the way, hapo kuna issue mbili... kulikuwa na trip ya TIC/TIB kwa ajili ya masuala yao ku-promote investiment climate in Tanzania. Which means, hata kama JK asingeenda US, TIC/TIB bado wangelazimika kuja. Kwa upande mwingine, kama nilivyosema, kuna vikao vya wakuu wa nchi. Kutokana na hilo wakaamua kuunganisha safari na kuwa trip moja... sasa tatizo lipo wapi? Au nongwa ni JK kwenda CNN? NI viongozi wangapi wangapi duniani wanatembelea vyombo vya habari?
Mwisho unasema eti anaenda CNN na kukutana na maofisa wawili... come on man! Sitaki kuamini kwamba hufahamu in common use tunaposema ofisa tunamaanisha nini! Leo hii wewe ukienda pale CRDB ukakutana na Customer service personell, bank officer, teller, supervisor nd the like, utakuwa sahihi kwa 100% ukisema umekutana na ofisa wa benki! Lakini huwezi kukutana na Dr. Kimei ukasema umekuatana na ofisa wa benki!!! Yaani unataka kusema Vice President CNN/US ni ofisa wa CNN? Au ulitaka akutane na Turner mwenyewe ndipo uone amekutana na the right person!
Sio siri JokaKuu... nilichogundua kwenye mjadala huu ni ama watu wamejaa tu unazi wa kubisha kila kitu au hawafahamu how does modern business world work! Utake usitake, PR is everything in a modern business world... hapo CNN kama wangeenda watu wa TIC na TIB peke yao, nobody kwenye viunga vya CNN NY could care! Wangechukuliwa tu hadi kwa responsible officer na kila kitu wangemaliza huko huko bila wengine chumba cha pili kufahamu!
Kuna wengine wanadai eti oh, ni kudhalilisha hadhi ya rais... rais inabidi akutane na rais, makamu na makamu... JokaKuu... nyie watu wa wapi? Kama bado hamjafahamu the power of media houses and respected journalists then you've the long way to go! Mwandishi wa habari anayelipwa sh. 1000,000/- ana power kubwa mbele ya Rais kuliko Mkurugenzi anayelipwa sh. 10,000,000/-! Hutaki unaacha!
yEP... UNAFIKI UPO KWENYE VINASABA VYETUHaya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?
Hamjui kuwa Richard Quest ni shoga, tena yule asiyejificha...?
Mbona sasa hamumshikii bango raisi wenu kumtembelea shoga ofisini kwake na kupiga naye picha..?
Wanafiki wakubwa nyie watu!
Cc: EMT
Majority tunapinga ushoga na tunaheshimu watu wote. Wakiwepo mashoga.Haya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?

Tatizo sio wazungu... hapo nimetaja media, PR, waandishi n.k! Hayo mambo hayana mzungu wala mchina ingawaje ukweli utabaki pale pale kwamba general attention atakayopewa David Cameron ni tofauti na ile atakayopewa Kagame, JK, Rais wa Romania, Albania... this's not all about the color man, hata Rais Mchina wa China akienda US leo hii atapata attention kubwa kuliko Rais Mzungu wa Estonia!!!..tatizo lenu mnawatetemekea sana hawa wazungu.
..mimi nimefanya nao kazi nawaelewa jinsi walivyo.
..Raisi angekuwa anajua the power that he has angeweza hata kuwaita hao jamaa Dsm na wakamfuata.
Do I need to read this?Blah blah at its best....
Unaenda kutafuta investors wakati hauna hata umeme wa kuwavutia kujenga viwanda, what a shame.
Even Quest knows that Kikwete doesn't Mean Business, only justifications for his tenth trip to US in a year.
Haya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?
Hamjui kuwa Richard Quest ni shoga, tena yule asiyejificha...?
Mbona sasa hamumshikii bango raisi wenu kumtembelea shoga ofisini kwake na kupiga naye picha..?
Wanafiki wakubwa nyie watu!
Cc: EMT
You just did buddy... walk on, walk onDo I need to read this?
Niwe ni issue na enzi za mwalimu hiyo issue niitoe wapi ndugu yangu? Nimeweka enzi za mwalimu purposely sio kumlenga yeye bali kuelezea hali ya zama hizo ambazo Watanzania ni kweli tuliamini chema chajiuza... enzi ambazo ni kweli tu akiona kitu kinatangazwa sana, lazima atakuwa na mashaka nacho... lakini leo hii hata the best product in the market, bado nayo inatangazwa coz' they know there's rivals and competitors outta there!I definitely agree with you kwamba JK had to travel to the US kwa ajili ya UNGA 9UN General Assembly)
Shida yangu ni kwamba jamaa anajua sessions ziko intermitent, na bado anakua na programs za "ZIARA", na siasa za chama twawala (kama alivyotumika vibaya DC/DMV)
Kuhusu Methali, labda nikuambie tu, najua una issues na enzi za mwalimu, but hiyo methali haikuletwa na mwalimu na ilikuwepo hata kabla mwalimu hajawa mwalimu and it holds water 100%.... CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA
With all due respect to my president, I think he has failed to unleash presidency as an institution and ended being a chief minister by default
Siku zote atabaki kuwa ndie mwanzilishi wa CNN!(Ted) Turner ni nani kwenye CNN sasa hivi?