President Kikwete visits CNN studios in New york

President Kikwete visits CNN studios in New york

Heee wewe kichekesho kweli ndio nyie munaangalia TV za Kenya ili mulinganishe na Tanzania kwa ujinga wenu tu.
Hujaona kama kulikuwa na kikao na uongozi wa CNN akiwemo makamo wa rais wao na viongoz wengine.
Richard anaendesha kipindi ambacho kinalingana na hio lengo la safari ama hujui ?
Jaribu kufuatilia kiipindi cha Richard pale CCN
Mwambie amfukuze kazi balozi wa Tanzania huko USA, anakula kodi zetu bure, vikazi vidogovidogo vya kufanya na balozi yeye ndo anaenda kuvifanya, anaharibu pesa yetu huyu mukulu!
 
......Duhhh! Huku nyumbani polisi wake wanapiga wanahabari yeye huko nje anapiga picha na wanahabari wa nje.
Kazi kwelikweli....
 
Jeff Zucker alikuwa busy sana mpaka akashindwa kuonana na Rais wetu. Kwa nini asimuone Ted Tunner ambaye ndio level yake kukutana na hawa anchors ni kudhalilisha ofisi ya Rais.
 
Safi saana.
Ni somo tosha kwa wasiojua umuhimu wa ziara za JK nje ya nchi.

silly................... hiyo kazi ni ya wawekezaji kujua opportunity ziko wapi na wizara husika

Mwai Kibaki rightly said, kama rais anafanya kazi ya waziri basi huyo waziri hana kazi Janga is bussy doing foreign minister, tourism minister, energy minister and forgetting to supervise his ministers

no wonder sisi ni moja ya nchi zenye low IQ
 
Slow down mkuu...Kwa kikwete huyu usitarajie tofauti yoyote.....Ameenda mikutano mingapi tangu awe raisi...? amepiga picha na watu wangapi? Kuna kipi kipya sana?
Unless kama unaamini cho
chote kilichofanyika kimefanyika by chance or by means of goodluck. But in addition, ameenda CNN na watu wa bodi ya utalii kutoa back up... sasa hapo kazi iliyobaki ni ya board ya utalii sio JK tena. Unless kama unataka hata hayo matangazo kuhusu Serengeti, Ngorongoro n.k nayo yatengenezwe na kulipiwa JK.

JK kama rais wa nchi ana-play part yake ya Chief Country PR. Let me tell you something guys... Tanzania ni kanchi kadogo sana duniani hususani kama tunataka attention ya mataifa makubwa. Kuna issue zingine ni kweli kabisa zingeweza kufanywa hata na mawaziri wetu.... lakini kutokana na udogo wetu, the same issue ambayo inaweza kuwa handled na Waziri wa UK na kupata attention, ikiwa handled na waziri kutoka Tanzania haiwezi kupata attention!

Nikupe mfano mdogo tu! Hivi kule vijijini hata akienda mkuu wa Wilaya sii kila mahali wanafahamu kwamba Mkuu wa wilaya anakuja na kila kitu kinasimama? What abput Mkuu wa Mkoa? Now let's come back to Dar es salaam! Let me assume kwambaunaishi Ubungo! Hivi siku Waziri Maghembe akija Ubungo, ile ubungo inazizima kwamba kuna national leader amekuja? Hivi Pale Ubungo shughuli zinasimama kwamba Mecky Sadick anakuja? What if huyu Maghembe akienda mkoa?

Mtu kama Membe akienda US, no one will care except pale ubalozi! Hata huyo Quesy wala asingepoteza muda wa kutafuta pozi la kupiga picha na Membe. So, kwenye mataifa makubwa, kama kuna jambo tunahitaji attention, there's no way lazima rais aende... akienda waziri, ni sawa na Meck Sadick kwenda Kinondoni halafu atarajie watu wataacha shughuli zao kwamba mkuu wa mkoa amekuja.... atahutubia makada wa CCM hao hao!
 
Jamani hiyo shughuli angefanya Membe ila amerudishwa kupigana kura ya theluthi mbili, teh, teh
 
“
Kuna baadhi ya watu wamefundishwa kumchukia Rais Kikwete kutokana na mafanikio yake.

Being a Success Means People Hate What you Do!

Wahenga walisema, tenda wema uende zako!
”

Kwanini anatumia kodi zetu kwa mafanikio yake? Mbona hakuna mtu hata mmoja anamchukia bakheresa wala mengi? Hapa kinachoboa nikutumia kodi za walalahoi kuuza sura.
 
Jeff Zucker alikuwa busy sana mpaka akashindwa kuonana na Rais wetu. Kwa nini asimuone Ted Tunner ambaye ndio level yake kukutana na hawa anchors ni kudhalilisha ofisi ya Rais.

Mkuu Ted atamsaidia nini sasa?
 
Mkapa aliwahi kunukuliwa na gazeti la Raia Mwema akiuliza " hivi Kikwete ni robot?"
 
“No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.” ― Nelson Mandela, Long Walk to Freedom

Kuna baadhi ya watu wamefundishwa kumchukia Rais Kikwete kutokana na mafanikio yake.

Being a Success Means People Hate What you Do!

Wahenga walisema, tenda wema uende zako!

Kwa watu ambao wamejaa chuki na vinyongo, Rais Kikwete alishawahi kusema wakati akiwa USA, “Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu, ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu, ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania,”

ha ha ha,,,,kweli ameyabadilisha hasaaa,maana kama unaish dar na hunywi maji safi basi ujue anayekuongoza amekubadilisha,na si kwamba hunywi kwa kupenda,maji hakuna
 
Na hili ndio tatizo la Watanzania na utawakuta ktk vimeza vya magazeti wanasoma vichwa vya habari tu wanaridhika.
Na kwa ujinga wako umesoma juu tu kwa uvivu wako halafu unaandika ujinga hapa soma tena hio habari!

unamaanisha magazet hayahaya ambayo Riz-1 na babaye waandish wake wanawaita MKANJANJA?????
 
Nikupe mfano mdogo tu! Hivi kule vijijini hata akienda mkuu wa Wilaya sii kila mahali wanafahamu kwamba Mkuu wa wilaya anakuja na kila kitu kinasimama? What abput Mkuu wa Mkoa? Now let's come back to Dar es salaam! Let me assume kwambaunaishi Ubungo! Hivi siku Waziri Maghembe akija Ubungo, ile ubungo inazizima kwamba kuna national leader amekuja? Hivi Pale Ubungo shughuli zinasimama kwamba Mecky Sadick anakuja? What if huyu Maghembe akienda mkoa?

Hicho unachokisema tells alot kuhusu udhaifu wa uongozi....Huwezi kuwa ni rais alafu unafanya hadi kazi za manaibu waziri na wakurugenzi...Maana yake umeshindwa kuwaelekeza watende vipi.....Umeshindwa kujenga team.....

Rais Imara ni yule anayeweza kufanya mambo yatokee kupitia watu.

Mkuu ninapokwambia hakuna kilichotendeka nalinganisha mapato ya nchi kupitia kodi,Mikopo na grants na maendeleo halisi yanayofanywa....Hela nyingi inapotea...Kikwete mwenyewe alishakiri 1/3 ya bajeti hua inapotelea mifukoni kwa walaji wa CCM na serikali yao...Maana yake ni nini? ni kwamba yeye kama rais ameshindwa kuchukua hatua kuziba mianya hiyo....

Deni la taifa linazidi kukua kwa kasi ya kutisha ....lakini haliendani na maendeleo on ground.

Haya anayoyafanya JK ni usanii tu...Anapenda Camera...he likes posing for pics...Nothing.......
 
Duuu picha nzuri sana aisee! Jamaa ana kisimet huyu.Richard Quest ni mmoja wa watangazaji mahiri sana CNN ambaye huwa mara nyingi program zake ni za Aviation zaidi na anaweza sana kuripoti.Mara nyingi namtazama usiku wa manane.

Lingekuw ajambo la Busara wangempa Your ya Serengeti, naamini anauwezo wakuiuza vya kutosha.
by the way si wanakuja kwa African journalism presentation, naamini hapo wazee wa TANAPA watajipanga ili kuwepo na tour ya serengeti na mbuga nyingine.
 
It is interesting, but what was the agenda of our President for the visit to CNN studio, is just a tour for prolonging days to stay in USA.
 
“No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.” ― Nelson Mandela, Long Walk to Freedom

Kuna baadhi ya watu wamefundishwa kumchukia Rais Kikwete kutokana na mafanikio yake.

Being a Success Means People Hate What you Do!

Wahenga walisema, tenda wema uende zako!

Kwa watu ambao wamejaa chuki na vinyongo, Rais Kikwete alishawahi kusema wakati akiwa USA, “Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu, ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu, ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania,”
MwanaDiwani. Saa zingine napingana na wewe kiongozi. Kiongozi sio kweli kwamba wanaomchukia Kikwete ni kwa sababu ya mafanikio yake, au kwa sababu ya ukwere wake au la, ni kwa sababu ya yeye kuongoza nchi kisanii zaidi ya kiutendaje. Hvi unajua deni la taifa limefikia trilion 30?? je zote hizo zilitumika kujenga barabara kama mnavyotaka kuona ndio mafanikio ya serikali yenu?? Je Mabilioni yanayopotea Dodoma wakati hata yeye JK amekubali kuwa hatukapatikana katiba mpya kipindi hichi ni sawa?? Hivi Tembo wetu kutolewa meno kuuwawa umesahau?? je vijana wetu kubadilika kuwa punda wa madawa nayo huioni?? JE HAYA NDIO MAFANIKIO UNAYOTAKA TUMEPENDE JK??
 
Last edited by a moderator:
Duuu picha nzuri sana aisee! Jamaa ana kisimet huyu.Richard Quest ni mmoja wa watangazaji mahiri sana CNN ambaye huwa mara nyingi program zake ni za Aviation zaidi na anaweza sana kuripoti.Mara nyingi namtazama usiku wa manane.

Je polisi wanavyowabamanda waandishi
 
Kuna msemo usemao "kizuri chajiuza,na kibaya chajitembeza".Ili uweze kuwavutia wawekezaji nchini ni lazima uwe na higher purchasing power (high middle income population),reliable water and power supply,stable currency,affordable taxes,high quality education alongside with the high number of educated people and good infrastructural networks (modern tamarc roads,railways, airports and sea ports. Tanzania tuna upungufu mkubwa Kwenye maeneo hayo na hatuelekei kuyamaliza leo wala kesho.Bila ya kushughulikia haya matatizo,Hata tujitangaze vipi hatutaweza kuwavuta wawekezaji nchini,Sana sana tutaishia kumaliza pesa za walipa kodi bure kwaajili ya matangazo kwenye media za Waamerika.
 
Back
Top Bottom