Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,596
- 1,812
Profitable moment...#QuestMeansBusiness .
No... you're missing something! Vile vikao wala haitarajiwi kutoa positive effect hapo hapo... lengo ni kujenga awareness! No one intend kwamba eti baada ya kikao husika ndipo watu waanze kuomba karabrasha za ku-sign contracts na mambo mengine kama hayo! Baada ya hapo, kama ulivyosema ndipo wanatokea watu wa kutaka kuonana hata na JK mwenyewe in private... and in fact, hiki ndicho kinatokea. Ingawaje hatutaki kukubali ukweli lakini the one at the main table/chief speaker ndie atakayetoa mwelekeo wa nani atahudhuria!
Badala ya kutuambia kwa nini TBC inaonyesha na chenga chenga au kiza kiza anaenda kutemebelea hao
Hivi kununua kiooo ili TV iwe clear nayo tatizo kwetu
Sehemu ya habari inasema: "The Tour was jointly organized by the TIC and CNN as part of an on going partnership to promote Tanzania as an attractive destination for investment and tourism". Lakini we bado unaona ni ujinga na kwamba anaenda kupiga picha!! Hizi siasa zenu hizi, nawahurumia sana, manake mwisho mtakuja kupata ugonjwa wa moyo bila sababu! Halafu wengi wenu sidhani hata kama mnafahamu the power of PR in a modern world.Sidhani kama mnafahamu vipindi Richard Quest vinaangaliwa na watu wangapi duniani na wa kariba/status gani!
Mkuu Njanjaweed,we are also busy aisee
Very tight schedules as well
Achana na mawazo kale ndugu yangu... suluhisho wala halikuwa eti kusbiria hadi hapo sisi wenyewe tutakapokuwa na uwezo wa kuchimba bali suluhisho ni uadilifu miongoni mwa Watanzania! Tatizo kubwa tulilonalo mi uadilifu! Kuna sekta ngapi ambazo tunafanya kazi sisi wenyewe na bado ni uozo mtupu? Kwa wakati wa Nyerere, alikuwa sahihi coz' hata wansheria na wahasibu hatukuwa nao... lakini kwa sasa tunachohitaji ni uadilifu na wala sio kuwa na Minaral & Petroleum Engineers kila kijiji!Tatizo kubwa kabisa la nchi yetu siyo kwamba hatuna "wawekezaji" wa kutosha. tatizo letu ni kwamba hizo jitihada za uwekezaji hazimsaidii mtanzania, watu wanakuja kuchuma na kuondoka. angalia kwenye madini, imesemwa mpaka inachosha kusikiliza, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba yule aliyesema kwamba hatuhitaji kuchimba sasa hivi mpaka tutakapojenga uwezo wetu wenyewe, alikuwa sahihi kabisa. suala siyo tu kuchimba madini. unachimba wakati ambao wewe ndio unanufaika zaidi. kwa hiyo suala siyo tu kuwa na wawekezaji, bali wanawekezaje. taratibu zikoje. Rais wetu anatakiwa kushughulika zaidi na kuboresha hali za watanzania, kuboresha miundo mbinu kwa kasi zaidi kuliko ilivyo hivi sasa, na hao wanaowekeza hawahitaji sana kutongozwa ila hasa huvutiwa na maeneo ambayo miundo mbinu iko vizuri
Ikiwa watendaji wa serikali wote wangekuwa na mawazo kama ya kwako basi ningeshauri JK aongeze safari nyingi zaidi! Nani alikudanganya kwamba ukishakuwa na mazingira mazuri tu ya biashara ndio basi FDI itakuwa automatically pooled into your country? Hii dunia hivi sasa ni ya ku-compete! Mazingira mazuri mazuri ya kufanya biashara is just one package among many others zinaztakiwa kuwamo ili kuvuta wawekezaji! Kama mazingira tu ingekuwa ndo kigezo basi hiyo Rwanda unayoitolea mfano hivi sasa ingekuwa mbali sana! For instance, why should I invest in Tanzania, low income country with low purchasing power instead of investing in Nigeria, high income country with high purchasing power and big market compared to Tanzania? Sio hivyo tu, narudia, tusijidanye... hii nchi haifahamiki vizuri huko duniani! Wa-Marekani kwa mfano, ambao wanaweza kuja hapa ku-invest na kuonekana ni investor wakubwa, majority ni SME kwa kule kwao! Watu wa aina hii wana ufahamu mdogo sana kuhusu outside world! Kama ambavyo sisi tunavyopenda ku-generalize, mathalani watu wa Lindi na Mtwara na kuita Kusini ndivyo wao wanavyotu-generalize na kuita Africa! So, wanaokuwa na advantage ni zile nchi ambazo zinafahamika individually.FDI haziendi kwenye nchi kqa sababu rais wa nchi husika kaenda kuwatembelea au kaonana nao hao investors.
Nchi kana ina mazingira mazuri ya investment wao watakuja tuuu mgano Rwanda where it takes 30mins ku register kampuni na rushwa iko low na kazi inafanyika kikweli sasa niambie muda gano it takes ku register kampuni na brela? Why should potential business be charged juat to search a name?
Hebu kuweni serious
Achana na mawazo kale ndugu yangu... suluhisho wala halikuwa eti kusbiria hadi hapo sisi wenyewe tutakapokuwa na uwezo wa kuchimba bali suluhisho ni uadilifu miongoni mwa Watanzania! Tatizo kubwa tulilonalo mi uadilifu! Kuna sekta ngapi ambazo tunafanya kazi sisi wenyewe na bado ni uozo mtupu? Kwa wakati wa Nyerere, alikuwa sahihi coz' hata wansheria na wahasibu hatukuwa nao... lakini kwa sasa tunachohitaji ni uadilifu na wala sio kuwa na Minaral & Petroleum Engineers kila kijiji!
Kiuchumi, kinachotokea Tanzania ndicho kinachotokea dunia mzima! Unachozungumzia wewe ni Economic Development! Economic Development can never erupt like volcano... steady economic growths over years ndio inayoleta Economic Development ndio maana pamoja na nchi kama China, India na Brazil kuwa na uchumi mkubwa kabisa bado wapo chini mno in terms of economic development.
UKIMWI hauna tiba... mgonjwa wa UKIMWI akianza kuharisha hatuwezi kusema asitibiwe kuharisha kwavile ugonjwa mkuu unamsababishia kuharisha (UKIMWI) hauna dawa! Akipata vidonda, tutatibu vidonda vyake hata kama vidonda hivyo vinatokana na upungufu wa kinga mwilini! Hatuwezi kuacha kila kitu eti kwa sababu tu Watanzania sio waadilifu! Kama inaonekana safari ya kwenda CNN ina manufaa lazima watu waende na katu hatuwezi kusema "NO", sisi sio waadilifu!ahsante ndugu yangu, nimependa hapo nilipweka msisitizo (bold), kwa hiyo tunakubaliana kwamba hizo ziara za CNN hazitusaidii, maana haziwezi kupunguza tatizo la UADILIFU!. Msingi wa hoja yangu ni kwamba matatizo yetu ni ndani ya nchi na siyo nje, hivyo hatuhitaji sana Rais wetu aende kushangaa na kucheka cheka na akina Quest. nakufagilia kwamba katika kunijibu, umejenga hoja, badala ya pale mwanzo. hongera!!
Kitambo hicho hamna tozo,wafanyakazo hewa wamejaa kwenye payroll na bado watu waliendelea kula bata![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York.
CNN is an American basic cable and satellite television channel that is owned by the Turner Broadcasting System division of Time Warner.
The 24-hour cable news channel was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner. Upon its launch, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.
While the news channel has numerous affiliates, CNN primarily broadcasts from its headquarters at the CNN Center in Atlanta, theTime Warner Center in New York City, and studios in Washington, D.C. and Los Angeles. CNN is sometimes referred to as CNN/U.S. to distinguish the American channel from its international sister network, CNN International.
![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete poses with CNN's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York
![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete presents CNN's Richard Quest when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York. Right Ms. JulietRugeiyamu Kairuki, the Executive Director of the Tanzania Investment Centre. The Tour was jointly organized by the TIC and CNN as part of an on going partnership to promote Tanzania as an attractive destination for investment and tourism.
They also discussed the forthcoming African Journalist of the year Awards Ceremony to be held in Dar es salaam later this year.
![]()
President Kikwete and his entourage take a souvenir photo in the CNN Studios during his visit
![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete and CNN's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York. This is where Richard Quest produces his world famous "Quest Means Business Programmes"
![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete and his entourage are given a guided tour by CNN's Richard Quest when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York.
![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete and his entourage are given a guided tour by CNN's Richard Quest when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York.
![]()
President Jakaya Mrisho Kikwete and his entourage in talks with Mr. Ken Jautz (second left), the Executive Vice President of CNN (Responsible for CNN/US) and Mr. Rani Raad (left Executive Vice President & Chief Commercial Officer (CNN International) when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York.
The CNN .executives engaged President Kikwete on Tanzania's a investment Track record and the country's impressive economic performance, as well as its approach to responsible Journalism
![]()
CNN memorabilia and TIC's promotional banner on display during President Kikwete'svisit of CNN studios in New York. STATE HOUSE PHOTOS