Mimi ni CHADEMA damu lakni kwa hili alilofanya Kikwete ni jambo jema mnooo! Hongera ndugu Jakaya, hongera sana!!!!
Nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Tanzania imeshindwa kumtumia huyu Richard Quest ambaye mataifa mengi tena zenye nguvu za kiuchumi duniani wanamtumia kutangaza utalii katika nchi zao?!
Kwa hili nampongeza sana Rais. UPUNZANI sio KUPINGA tu kila kitu. Mtu anapofanya jema na apongezwe na kutiwa moyo na anapo fanya kunyume akemewe!
Hongera Ndg Kikwete. Sasa tunamuhitaji Quest aje nchini afanye coverage ya kutosha juu ya vivutio vyetu ili kuiambia dunia ukweli juu ya rasilimali tulizojaaliwa na mwenyezi Mungu.
Lakini zaidi kuweka mambo sawa juu ya mlima wetu Kilimanjaro na madini ya Tanzanite ambapo kwa pamoja dunia imeaminishwa kuwa vinapatikana nchini Kenya.!
Mimi ni CCM lakini nadhani Kikwete is licking USA boots, too much for our president kuzunguka na sidhani kama political trips zina yield more business return kuliko business trip
Kutembelea CNN wasnt necessary because they wont promote Tanzania for free
Marais wa Kenya hawakuja Marekani mara sita kwa Mwaka kuiweka Masai Mara na utalii kwa ujumla kwenye ramani kama nambari wani tourists destination for years, na hat wakija leo hawawezi kubadili haraka perception ya watalii kuhusu safety ya kenya with Alshaababu on the ground
Tusiwe kasuku, tufanye jitihada kidogo za kujua cost/benefit ya political trips to business opportunity - angekua anajaribu kushawishi serikali ya marekani kuwekeza, then this would have a good meaning, maana misaada ya kondomu, KY-Jelly, matangazo ya michepuko yangeongezeka (unfortunately misaada inapungua)
What we need ni governance na enabling environment back home na sio political study tours kukomaza sekta zetu
Quest may come, but if it takes 12 months kukamilisha investment project moja, ujue atakua kaja kula complementary trip tu
Business men have good inteligence networks za kujua business oportunity, kuna wamarekani walikua Mtwara for the past 15 years, hawakuhitaji JK kupiga picha studio ili kuwekeza
President Kibaki came to US twice only but his tenure showed kenya progressing very well
WATANZANIA TUACHE SIASA KWENYE UWEKEZAJI NA KUUKUZA MAZINGIRA YA BIASHARA