President Kikwete visits CNN studios in New york

Mkuu NasDaz shukrani sana kwa kusaidia kuweka mambo sawa. Umetumia nguvu nyingi sana kuwaelewesha na ni matumaini yangu wamekuelewa sana (japo kimaandishi wana-Act kwamba hawajakuelewa ila kimoyo-moyo watakuwa wamekuelewa).

Wengi wa wasomaji hapa kwenye hili Jukwaa ni wale wanaopita na kusoma kimya kimya. Wamesoma/watasoma na kukuelewa. Hawa wenye default settings za kupinga kila kitu ni walewale wa kila siku na nia na madhumuni yao ya kidhalimu yanajulikana.

Ahsante sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna nchi wana msubiri sana Waziri Muhongo hadi leo hii na wasingelitaka sana kuongea na Rais.

Wanamsubiri hata Balozi wetu aende kuonge nao kwa zaidi ya mwaka sasa.

Kuna sehemu mama wa TIC Juliet angelifaa zaidi kuzidi Waziri fulani......

Hivyo kusema Mawaziri wakiwa nje si mali kitu, unapishana na ukweli.

Pia inapokuja kwenye kuwekeza, si lazima iwe nchi zilizoendelea sana. Zinaweza kuwa nchi katikati zenye utajili wa kawaida na high know how kwenye technology. Hizo zipo nyingi Ulaya na viwanda na mashine zao zinakufa tu kutokana na ushindani wa Asian Countries. Mfano nchi kama Czech na magai yao ya Skoda yanayotumia Gas.....

Å-KODA UK - Å-KODA
TEST: Å-koda Citigo CNG | Hybrid.cz

test-skoda-citigo-cng-41.jpg

Niwe ni issue na enzi za mwalimu hiyo issue niitoe wapi ndugu yangu? Nimeweka enzi za mwalimu purposely sio kumlenga yeye bali kuelezea hali ya zama hizo ambazo Watanzania ni kweli tuliamini chema chajiuza... enzi ambazo ni kweli tu akiona kitu kinatangazwa sana, lazima atakuwa na mashaka nacho... lakini leo hii hata the best product in the market, bado nayo inatangazwa coz' they know there's rivals and competitors outta there!

Kuhusu hayo mambo ya DMV... aaaaaargh, sina hata la kusema manake hizi purely political issues wala hazipata kuwa topics of my interests!!! Naonaga sana humu jamvini topics kuhusu CCM/CHADEMA/DMV/ n.k, ni mara chache sana utakuta nachangia... majority hata kufungua sifunguagi!!

Kwamba ame-fail. Sina hakika kama ame-fail au hapana lakini kufli huko katu hakuwezi kupimwa kutokana na safari yake ya CNN. Mkuu Janjaweed... kuna siku nilibahatika kwenda kijijini... tena ni kijiji mji! Nilishituka kuona kijiji kilivyozizima kisa eti anakuja Mkuu wa Wilaya! Umeshawahi kupata bahati hiyo? Kama bado, tafuta siku usikie DC fulani anaenda kijiji fulani ukaone watu wanavyohangaika kisa DC anakuja!!!!!

Dar es salaam ambapo wengi wetu tunapafahamu... nani anashituka hata anapopita Waziri? Najua hamtakubali ukweli huu lakini huo ndio ukweli kwamba mawaziri wetu ndani ya mataifa makubwa worth nothing! Don't expect kwamba watu wataacha shughuli zao wakamsikilize eti Waziri Maghembe au Kawambwa au hata Membe! Kwa kuonesha respect ya unafiki, sana sana watatuma mwakilishi from middle to low rank! Na hata akirudi huyo represenative no one will care even to ask nini kimezungumzwa kwenye kikao husika!

Narudia... hata kwenye maofisi yetu hapa mjini... kuna deal issues ambazo zinakuwa attended na sales guys from sales department lakini panapotokea serious deal from serious partner, hadi DG, CEO, MD (or whatever s/he may be called) nae atakuwamo kwenye msafara!
 
Hapa wote tunaeleweshana maama hakuna anayeelewa yote. Tukichnganya yote ndiyo tunapata mema.

Utakuwa unafanya makosa kutokusoma wanaopinga maana nao wana pionts kadhaa wanaweka.

Nasdaz ana points nzuri sana ila hata yeye nina uhakika sana kuwa anakubali hizo safari pamoja na umuhimu wake, zimekuwa nyingi sana. Gharama za kumsafirisha Rais zipo juu sana kwa nchi kama Tanzania.

Pia hata Waziri tu akienda nje na mkafanya lobbying mapema, basi safari yake inaweza kuwa na nguvu mno.

Hapa kuna umuhimu wa kumtumia Balozi na Diaspora ya Watnzania au Waafrica maana wao huko ni wenyeji.

Tatizo letu ni kutokuheshimu Diaspora wetu huko nje na kuwaita wavaa Jezi na Mikufu tu - kosa kubwa.

Great post... tutaelewana tu

My point bado ni kwamba unakwepa kukubali kwamba he is being used cheaply and carelessly... sasa basi kama ni urongo, basi tupongeze jitihada maandazi, na kama ni kweli, basi tufanye mtume Muhammad S.A.W alichotufundisha... ukweli!!!

My president is being abused, na anapoteza respect along th way

Kuhus ya kwenda kijijini, i cant pass a month or two bila kwenda, kwa sababu nalima kule... na najua yatokeayo, but you should know, hizo sujud' zimebaki limited, na tunatakiwa kufungua macho, kwani mambo yenda yakiongezwa

we have issues na bahati mbaya sana, things are changing faster than we know

we have srious issues and my lovely president is turning a blind eye to them

kimeumana

biashara sio poster, ni site na mahesabu
 
Haya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?

Hamjui kuwa Richard Quest ni shoga, tena yule asiyejificha...?

Mbona sasa hamumshikii bango raisi wenu kumtembelea shoga ofisini kwake na kupiga naye picha..?

Wanafiki wakubwa nyie watu!

Cc: EMT

Watu hawaangalii hayo yote

Watu wamekuwa Myopic sana.

Taasisi ya Urais kutembelea mtu shoga ina implication kubwa hasa kuhusiana na sera za nchi yako

Obama hakwenda kenya kwa sababu tu Kenyatta ana tuhuma ICC.

Tatizo la Viongozi wetu hawajielewi...including Kikwete......
 
Kuna nchi wana msubiri sana Waziri Muhongo hadi leo hii na wasingelitaka sana kuongea na Rais.

Wanamsubiri hata Balozi wetu aende kuonge nao kwa zaidi ya mwaka sasa.

Kuna sehemu mama wa TIC Juliet angelifaa zaidi kuzidi Waziri fulani......

Hivyo kusema Mawaziri wakiwa nje si mali kitu, unapishana na ukweli.

Pia inapokuja kwenye kuwekeza, si lazima iwe nchi zilizoendelea sana. Zinaweza kuwa nchi katikati zenye utajili wa kawaida na high know how kwenye technology. Hizo zipo nyingi Ulaya na viwanda na mashine zao zinakufa tu kutokana na ushindani wa Asian Countries. Mfano nchi kama Czech na magai yao ya Skoda yanayotumia Gas.....

Å-KODA UK - Å-KODA
TEST: Å-koda Citigo CNG | Hybrid.cz

test-skoda-citigo-cng-41.jpg
Kwani JK hizo safari anaendaga peke yake? Nimetoa mfano wa taasisi za biashara... kwamba kunapokuwa na serious deals, si ajabu kuona DG anaenda... lakini uendaji wake haumaanishi kwamba department heads wanakuwa excluded... anachofanya DG ni kutoa back up! Na ndio maana JK safari zote anazosafiri, hafuatani na akina Kinana au Nape Mnauye... anaenda na mawaziri pamoja na watendaji wa Idara na taasisi ambazo zipo kwenye agenda. Au mlitaka muwekewe hadi clips za mkutano wa mtendaji na waziri fulani??

But in other way round... hivi hamuoni hata nyie wenyewe mnatoa attention kubwa kwenye safari na ama vikao vya JK?? Ni viongozi wangapi wanatembelea nje ya nchi na mikoani kwa shughuli za kiserikali and majority even within the country (TZ) wala hawana time ya kufuatilia nini kimeendelea? Hivi hufahamu kwamba mnafanya kile kile ninachokisema but in other way round?
 
Hapa wote tunaeleweshana maama hakuna anayeelewa yote. Tukichnganya yote ndiyo tunapata mema.

Utakuwa unafanya makosa kutokusoma wanaopinga maana nao wana pionts kadhaa wanaweka.

Nasdaz ana points nzuri sana ila hata yeye nina uhakika sana kuwa anakubali hizo safari pamoja na umuhimu wake, zimekuwa nyingi sana. Gharama za kumsafirisha Rais zipo juu sana kwa nchi kama Tanzania.

Pia hata Waziri tu akienda nje na mkafanya lobbying mapema, basi safari yake inaweza kuwa na nguvu mno.

Hapa kuna umuhimu wa kumtumia Balozi na Diaspora ya Watnzania au Waafrica maana wao huko ni wenyeji.

Tatizo letu ni kutokuheshimu Diaspora wetu huko nje na kuwaita wavaa Jezi na Mikufu tu - kosa kubwa.
Mkuu Sikonge,

Nitakuwa mnafiki na mzandiki nikikataa kwamba safari za JK sio nyingi... in terms of numbers, ni nyingi, tena sana! Unfortunately, neither of us anaweza kuwa na data za net value za safari za JK (Cost Benefit Analysis). Kutokana na ukweli na huo, wala sitatafuna maneno kusema kwamba safari za JK ni nyingi mno lakini nitakuwa mwangalifu sana ku-conclude kwamba safari hizo zina manufaa au hazina manufaa! Hapa nitabaki ku-evaluate individual issue na kuona kama ina manufaa au haina manufaa!

Mathalani, hili la JK kwenda CNN kama angekuwa amefunga safari moja kwa moja toka TZ purposely kwa ajili ya kwenda CNN... NISINGEMWELEWA HATA KIDOGO! Lakini kamanilivyosema, JK yupo US kwa ajili ya UN meetings! Aende CNN au asiende, all costs will remain the same excluding costs za kutoka eneo moja la New York hadi lingine (CNN New York). Cost ambayo, ukilinganisha na total cost, is almost negligible. Kwahiyo kama tunataka kufanya Cost Benefit Analysis ya safari ya JK kwenda CNN, tunatakiwa tu ku-include costs za JK na Team yake kutoka kwenye last point to CNN New York. Sana sana hapa cost ninayoiona na ya wese!
 
Last edited by a moderator:
Tuwe wa kweli, vikao hivyo vya Rais akiwa nje,vinazaa kidogo sana.

Muda huwa mdogo na matokeo yake wanagusia gusia tu. Kila muwekezaji wa maana hawezi kuja kwenye vikao hivyo na kama kweli anataka kuwekeza,atamfuata Rais nyumbani kwake na huko ataongea akiwa na Waziri mhusika. Hivi mwenye vikao hivyo utategemea Iza Bosch aje akae asikilize na avutiwe na mwisho aje na kiwanda chake cha Bosch?

Hata kama dunia nzima wangelitangaza hiyo ziara, bado haitakuwa na mtokeo yoyote. Marais kwa kawaida wanakwenda kuweka sahihimambo ambayo yameshakubaliwa tayari na si kubembeleza wawekezaji au kutafuta masoko au kutangaza biashara. Ni heri alipokwenda kuangalia mechi ya Arsenal, walau tunajua kuwa alikuwa likizo ambayo ni haki yake.

Kama nilivyoandika baadaye, una point nyingi na nzuri na nakubaliana na wewe kwa mengi na ninafahamau umuhimu wa safari za Rais yeyote nje ya nchi. Ila huoni kidogo zimekuwa nyingi? Mie naongelea wingi wa safari...

Kwa mfano CNN, ili watangaze nchi, sio lazima Rais aje awaombe, wao wanataka fedha tu, basi. Sasa hiyo siku nzima tumelisha msafara mzimanuko USA, bei yake waijua kwa siku? Muhongo pekee hataki kusafiri kwenhe Economical class na mie simshangaikwa hadhi yake maana anaweza mwenyewe kujinunulia ticket. Sasa msafara mzima Emirates anatajirika tu.

Kwani JK hizo safari anaendaga peke yake? Nimetoa mfano wa taasisi za biashara... kwamba kunapokuwa na serious deals, si ajabu kuona DG anaenda... lakini uendaji wake haumaanishi kwamba department heads wanakuwa excluded... anachofanya DG ni kutoa back up! Na ndio maana JK safari zote anazosafiri, hafuatani na akina Kinana au Nape Mnauye... anaenda na mawaziri pamoja na watendaji wa Idara na taasisi ambazo zipo kwenye agenda. Au mlitaka muwekewe hadi clips za mkutano wa mtendaji na waziri fulani??

But in other way round... hivi hamuoni hata nyie wenyewe mnatoa attention kubwa kwenye safari na ama vikao vya JK?? Ni viongozi wangapi wanatembelea nje ya nchi na mikoani kwa shughuli za kiserikali and majority even within the country (TZ) wala hawana time ya kufuatilia nini kimeendelea? Hivi hufahamu kwamba mnafanya kile kile ninachokisema but in other way round?
 
Safi saana.
Ni somo tosha kwa wasiojua umuhimu wa ziara za JK nje ya nchi.
Sasa hapo somo nini kila siku anatembelea umuhimu uonekane kwa maisha ya watanzania kubadilika sio kila siku iwe afadhali ya jana.
Au kwa vile umeona mt Kilimanjaro kwenye screen hahaha hata viwanja wa soccer UK kilimanjaro inaoneshwa sana.
 
Tuwe wa kweli, vikao hivyo vya Rais akiwa nje,vinazaa kidogo sana.

Muda huwa mdogo na matokeo yake wanagusia gusia tu. Kila muwekezaji wa maana hawezi kuja kwenye vikao hivyo na kama kweli anataka kuwekeza,atamfuata Rais nyumbani kwake na huko ataongea akiwa na Waziri mhusika. Hivi mwenye vikao hivyo utategemea Iza Bosch aje akae asikilize na avutiwe na mwisho aje na kiwanda chake cha Bosch?

Hata kama dunia nzima wangelitangaza hiyo ziara, bado haitakuwa na mtokeo yoyote. Marais kwa kawaida wanakwenda kuweka sahihimambo ambayo yameshakubaliwa tayari na si kubembeleza wawekezaji au kutafuta masoko au kutangaza biashara. Ni heri alipokwenda kuangalia mechi ya Arsenal, walau tunajua kuwa alikuwa likizo ambayo ni haki yake.

Kama nilivyoandika baadaye, una point nyingi na nzuri na nakubaliana na wewe kwa mengi na ninafahamau umuhimu wa safari za Rais yeyote nje ya nchi. Ila huoni kidogo zimekuwa nyingi? Mie naongelea wingi wa safari...

Kwa mfano CNN, ili watangaze nchi, sio lazima Rais aje awaombe, wao wanataka fedha tu, basi. Sasa hiyo siku nzima tumelisha msafara mzimanuko USA, bei yake waijua kwa siku? Muhongo pekee hataki kusafiri kwenhe Economical class na mie simshangaikwa hadhi yake maana anaweza mwenyewe kujinunulia ticket. Sasa msafara mzima Emirates anatajirika tu.
No... you're missing something! Vile vikao wala haitarajiwi kutoa positive effect hapo hapo... lengo ni kujenga awareness! No one intend kwamba eti baada ya kikao husika ndipo watu waanze kuomba karabrasha za ku-sign contracts na mambo mengine kama hayo! Baada ya hapo, kama ulivyosema ndipo wanatokea watu wa kutaka kuonana hata na JK mwenyewe in private... and in fact, hiki ndicho kinatokea. Ingawaje hatutaki kukubali ukweli lakini the one at the main table/chief speaker ndie atakayetoa mwelekeo wa nani atahudhuria!
 
Nilishawahi kupata habari za tajiri mmoja mkubwa Ulaya mwenye viwanda vya vyuma na wakaniambia huwa hasomi barua yoyote zaidi ya mistari mitano ya mwanzo - Hana muda.

Sasa kama wewe unasema hapo kwenye kikao ni kutoa mwanga tu, unafikiri huo muda anao kweli?

Matajiri wengi, wana vikampuni vyao kivuli vya kuwawakilisha. Ukivijua hivi na ukawaita uongee nao hata kama utawalipia na nauli pamoja na hotel, utapata zaidi wawekezaji kuliko ukija wewe mwenyewe.

Wanaokwenda kumuona baada ya vikao, wengini matapeli, na huo nina uhakika. Wawekezaji wa maana niamini hapa huwa hawaji kufanya show off. Muda hawana kabisa na kujianika huwa hawataki kabisa.

Kuna Rais fulani alionana na balozi wa nchi nyingine na watu wakapata habari kuwa Rais huyo alivuta 10% kwa ajili ya familia yake. Sasa kwa balozi, haina shida ila kwa matajiri wengi, moto ungeliwaka kwao. Sanasana inakuwa hivyo kwamba Rais wa Nigeria akiwa Czech, ataonana na balozi wa German na apewe hizo asilimia 10. Tunarudi palepale kuwa wanaomuona Rais akiwa nje, wengi ni Matapeli na watoa hongo na hii si Tanzania tu.

Wawekezaji wa maana wataonwa na balozi au Watanzania waishio huko. Hao wakija mfikisha kwa Rais ni kuweka sahihi tu na hii ni kuwa atakuja mwenyewe Tanzania na siyo tumfuate. Huyo anayesubiri Rais wetu amfuate ni kuwa hana shida na mara nyingi ni Mwizi au Tapeli.

Hivi FDI zinakuja tz kwa sababu rais anaenda huko kwa wazungu au mazingira mazuri ya investments
 
Haya wale wapinga ushoga na mashoga mko wapi?

Hamjui kuwa Richard Quest ni shoga, tena yule asiyejificha...?

Mbona sasa hamumshikii bango raisi wenu kumtembelea shoga ofisini kwake na kupiga naye picha..?

Wanafiki wakubwa nyie watu!

Cc: EMT

Mie niliona thread ya MwanaDiwani aliweka hizo picha akijaribu kuhalalisha uhalali wa ziara ya Rais huko Marekani.

Sijui kama alikuwa anawajua hao watu waliopiga picha na Rais ndo maana nikamtaka alete maelezo ya kina na siyo picha tuu.

Personally, sina mamlaka ya kuhoji sexuality ya mtu. Hata kama mtu hana sexual identification sawa tuu.

Hata hivyo, inaleta maswali kama mtu akiwa nyumbani kwake huwa anadai kuwa kuliko kuruhusu ushoga ni heri kutopewa misaada, lakini akiwa nje ya nchi anawatembelea hao hao mashoga na kupiga nao picha.

Hizo picha zitamfunga mdomo JK kuongelea tena kuhusu Tanzania na ushoga in a negative way maana watakuwa wanambandikia hizo picha alizopiga na mashoga.

Kaaazi kweli kweli. Huwa wanasema ombaomba hachagui mtu.
 
Nilishawahi kupata habari za tajiri mmoja mkubwa Ulaya mwenye viwanda vya vyuma na wakaniambia huwa hasomi barua yoyote zaidi ya mistari mitano ya mwanzo - Hana muda.

Sasa kama wewe unasema hapo kwenye kikao ni kutoa mwanga tu, unafikiri huo muda anao kweli?

Matajiri wengi, wana vikampuni vyao kivuli vya kuwawakilisha. Ukivijua hivi na ukawaita uongee nao hata kama utawalipia na nauli pamoja na hotel, utapata zaidi wawekezaji kuliko ukija wewe mwenyewe.

Wanaokwenda kumuona baada ya vikao, wengini matapeli, na huo nina uhakika. Wawekezaji wa maana niamini hapa huwa hawaji kufanya show off. Muda hawana kabisa na kujianika huwa hawataki kabisa.

Kuna Rais fulani alionana na balozi wa nchi nyingine na watu wakapata habari kuwa Rais huyo alivuta 10% kwa ajili ya familia yake. Sasa kwa balozi, haina shida ila kwa matajiri wengi, moto ungeliwaka kwao. Sanasana inakuwa hivyo kwamba Rais wa Nigeria akiwa Czech, ataonana na balozi wa German na apewe hizo asilimia 10. Tunarudi palepale kuwa wanaomuona Rais akiwa nje, wengi ni Matapeli na watoa hongo na hii si Tanzania tu.

Wawekezaji wa maana wataonwa na balozi au Watanzania waishio huko. Hao wakija mfikisha kwa Rais ni kuweka sahihi tu na hii ni kuwa atakuja mwenyewe Tanzania na siyo tumfuate. Huyo anayesubiri Rais wetu amfuate ni kuwa hana shida na mara nyingi ni Mwizi au Tapeli.
Let me tell you something! Kwanza tuanze na hilo la kwamba busy executives hawawezi kuhudhuria! Hili ni jambo la kawaida lakini issue ya kuangalia ni aina ya delegation atakayoitoa huyo busy executive. Ndio maana kuna post nikasema, kuna baadhi ya watu wakienda kutuwakilisha kule, usishangae huyo busy executive akamtuma low rank employee na wala aiulize feedback! Lakini kunapokuwa na mtu ambae ni worth to listen, basi huyo busy executive hata asipoenda yeye bado anaweza kumtuma mtu serious na bado akaulizia feedback coz' the guy around the table was worth to listen. Na ndio maana kwenye mada hii, tunaona Executive Vice President wa CNN/US ndie anaongea na JK otherwise hao akina TIC guys wangeishia kwenye ofisi za marketing, PERIOD!

Kwamba wawekezaji wa maana hawana hawawezi kwenda kufanya show-off labda nikukumbushe kwamba Tanzania haipo vile wenyewe tunavyodhani! Hivi umesahau zile enzi ambazo mtu anakuuliza unatoka wapi, unamjibu Tanzania kisha unatumia nguvu ya zaidi kumwelewesha Tanzania ni wapi hasa? Usitake kunikumbusha machungu ya kuitambulisha nchi yangu hadi nifanye Kenya as a reference! Usitake kunikumbusha machungu ya kuitambulisha ncgi yangu hadi kwanza nitaje Mount Kilimanjaro... halafu mtu anakujibu, oh, you mean South Africa!

Mkuu Sikonge, hii nchi haifahamiki duniani... tusijidanganye! Hii nchi nafahamika na watu wa kariba ya Obama(wanasiasa wa level yake) and not from business executives! Hii nchi inahitaji PR ya nguvu kuliko unavyofikiria! Take an example of Mt. Kilimanjaro! Ile Mt. Kilimanjaro ingekuwa Nigeria basi basi tangazo la sekunde 15 CNN linatosha kabisa kuutangaza Mlima Kilimanjaro... WHY? Because majority wanaifahamu Nigeria wasichofahamu ni nini watapata/watakuta wakienda Nigeria! Kwahiyo Tangazo likisema "Visit Nigeria, the Land of Mt Kilimanjaro... the highet mountain in Africa!" Hiyo content peke yake inatosha... mtu anafahamu kwamba kumbe Nigeria kuna the highest mountain in africa! But replace Nigeria with Tanzania in the same content: "Visit Nigeria, the Land of Mt Kilimanjaro... the highet mountain in Africa!" Swali la kwanza audience kujiuliza, "what's the hell is Tanzania?" Ni ukweli mchungu... why should someone care about mount Kilimanjaro wakati hata hiyo Tanzania yenyewe haijui!

Hata kama hatutaki, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba tunahitaji PR ya nguvu kuitangaza hii nchi! Unapojenga awareness na business executives ni njia moja wapo ya kujenga awareness about the country as the whole!
 
Hahahaa, Mami.....

Unapiga za chini ya mkanda sasa. Ukweli una ng'ata ati.......

By the way, haka ka Mayu hapo kana hips balaa....

attachment.php

Hahahaaaa mami, mhola mhola ugukaya?

Watanzania ni watu wanafiki sana.

Hawa hawa watu baadhi yao wanaona fahari kumlawiti mwanaume na wale wanaolawiti eti wanaonekana ndo vidume huku anayelawitiwa ndo anaonekana shoga.

Wakati ukweli wa mambo ni kwamba wote ni mashoga tu. Sasa rais wa nchi ambayo supposedly ushoga ni kosa kisheria anaenda majuu na kukenua kenua meno na kupiga picha na shoga asiyejificha!

Ina maana hao watu wa ikulu hawakulijua hilo? Au hata yeye rais hakulijua hilo?

Au wanalijua lakini ndo unafiki tu umewazidi?
 
Mkuu NasDaz,

Kama nilivyosema, nakubaliana na wewe kwa mengi ila kwa uzoefu wangu nilioupata na kukaa na Wadhungu, hizo njia tunazotumia siyo sahihi hata kidogo.

Kwanza lazima ujuwe kuwa ili hao WADHUNGU waje kuwekeza, ni lazima wapate kibali cha Serikali yao na hapo Waziri wa Uchumi mara nyingi muhusika mkuu. Sasa kwangu mie, hata kama ni mtu wa TIC, akiongea na Balozi na Balozi akaandaa mkutano huo kwa kupitia Waziri wa uchumi na kuwaita matajiri kadhaa, basi utafanikiwa zaidi. Wale jamaa wakiitwa na Waziri basi watakuja tu na kumsikilza hata kama atakuwa ni mtu wa chini. Kwa hili unaweza kuniamini au usiamini ila ndiyo best way ya kuwaingia hawa watu. Bila ya Serikali yao kukubali basi wewe unahangaika tu. Ndiyo maana nikasema, LOBBYING ina nguvu zaidi kuliko hata Rais. Huhitaji hata Waziri kama una mtu anayejua kujieleza kwa ufasaha kwa hao matajiri na kwa muda mfupi. Na ukitaka kuwamaliza zaidi, peleka mtu anayeongea lugha yao na kujua mila na tabia zao. Haki ya nani utashangaa wanavyokenua meno siku hiyo kwa kuona Kijana wao MWEUSI.

Kuhusu kutangaza nchi, njia rahisi sana ni kwenye MICHEZO. Ingelikuwa miaka ya 70, unamchukua Filbert Bay au Shahanga na wanakutangazia hilo tangazo lako. Kwa USA, nimeshasema mara nyingi sana kuwa tuna mtu anayefaa kututangazia nchi huko USA ila hatumtumii. Huyu ni Mkulima wa Kahawa huko Mbeya ila ni mtoto wa Legend Jack Robinson ambaye mwaka huu kama sikosei wamecheza hadi film kuhusu huyu Mzee:
Jackie Robinson - Wikipedia, the free encyclopedia

Jamaa anaitwa David Robinson.... huyu angeliuza zaidi Tanzania USA kuliko viongozi wote wa Tanzania.

jun05_feature_sportsbiz.jpg

Angalia akiwa USA anavyopokelewa kwa heshima kwenye TV kubwa......

Ndiyo maana nasema, kama kweli tunataka ifahamike, tutumie njia ambazo kweli tutatangaza kwa muda mrefu. Kwa mfano kama CNN wangelikubali kumfanyia kipindi huyu jamaa, wangi walijua kuzidi hata kufanya tangazo.

Sijui kama umenielewa. Kwamba kuna njia fupi na bei nafuu na zitafanya impact kubwa.

Hata Katanga sasa wapo juu sana kwa sababu ya Team ya TP Mazembe. sisi hata kukimbia hatushindi - SHAME.

Hata kama hatutaki, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba tunahitaji PR ya nguvu kuitangaza hii nchi! Unapojenga awareness na business executives ni njia moja wapo ya kujenga awareness about the country as the whole!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Sikonge and Janjaweed,

I wish ningekuwa na muda wa kutosha ili tuendelee kuelimsihana kwenye mjadala huu but am sorry to tell you that, am kinda busy right now with a very tight time schedule.
NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Na bado,atatembelea mpaka homeless people huko marekani ilimradi tu apoteze muda na kodi za wstanzania
 
Pamoja sana Mkuu. Shughuli njema maana mwisho wa mwezi, bill zinakuja na lazima zilipwe.

Back
Top Bottom