Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
lol withi matutazi......jaribu kui-edit uifunge funge zaidi, samahani kwa hilo! dhoo wi dea tu tok openli but with matutaz...!
leo maono yameshindikana? au hujabeba?PIGA MAHESABU au uchukue jembe uwe MWANAKIJIJI ila angali sana usiwe kama MTU WA PWANI ambaye hukaa tu akisubiri jioni.......!watu tunatofautiana sana jamani. mimi mwenyewe nilitaka kuja kuandika hapa leo, matatizo yangu ni kwamba, nachelewa sana kumwaga, nachukua hadi nusu saa hadi dakika 45 wakati mwingine. tatizo ni pale ambapo, inafikia mamaa anasema ameshachoka, na mimi namwona kabisa amechoka na ile miguno ya mwanzo haipo tena. mimi niko bado crazy wakati huo. kibaya zaidi, ni kwamba, nikisha fika kileleni ktk hali ya mda mrefu kama huo, sina uwezo wa kupiga la pili. yaani hiyo ni kama many in one. yaani hadi kesho. sasa naombeni muunganishe na hili, hivi hili ni tatizo gani? au nina upungufu wa sperms? ni mbaya? sijapata malalamiko toka kwa my wife kuwa haridhiki, ila mimi wakati mwingine naona kama ananipunja anaposema ameshechoka wakati mimi bado. nilikuwa najua wanawake ndo wenye nguvu kuendelea zaidi kuliko sisi. hii ni true, wala sitanii, naombeni mnisaidie wajameni.
leo Maono Yameshindikana? Au Hujabeba?piga Mahesabu Au Uchukue Jembe Uwe Mwanakijiji Ila Angali Sana Usiwe Kama mtu Wa Pwani ambaye Hukaa Tu Akisubiri Jioni.......!
JF Doctor,
Naomba msaada wako...!
I have my ndugu ambaye girlfriend wake alimkataa kwa sababu eti "jogoo haliwiki vizuri" na hata likiwika basi ni dakika moja au mbili limelala. (erectile dysfunction)
Mbaya zaidi inapotokea kwamba linawika, huwa ni dakika moja au mbili basi huwa anakua kasha "piga bao" (premature ejuculation).
Hali hii ilimkasirisha sana girlfriend wake kwani anasema haridhiki au hatosheki na mapigo ya bwana mdogo kwani huwa anamaliza upesi mno kabla yeye hajafikia kileleni.
Sasa naomba unisaidie nimshauri afanyaje? Ni nini haswa chanzo cha erectile disfuntion and premature ejeculation?
Je kuna dawa mahususi ya kutibu erectile dysfunction and premature ejaculation? na kama zipo ni dawa gani haswa? naomba uzitaje
Naomba ushauri wako ili nimnusuru huyu bwana mdogo ambye kwasasa amekua kama mkiwa...!
JF Doctor,
Naomba msaada wako...!
I have my ndugu ambaye girlfriend wake alimkataa kwa sababu eti "jogoo haliwiki vizuri" na hata likiwika basi ni dakika moja au mbili limelala. (erectile dysfunction)
Mbaya zaidi inapotokea kwamba linawika, huwa ni dakika moja au mbili basi huwa anakua kasha "piga bao" (premature ejuculation).
Hali hii ilimkasirisha sana girlfriend wake kwani anasema haridhiki au hatosheki na mapigo ya bwana mdogo kwani huwa anamaliza upesi mno kabla yeye hajafikia kileleni.
Sasa naomba unisaidie nimshauri afanyaje? Ni nini haswa chanzo cha erectile disfuntion and premature ejeculation?
Je kuna dawa mahususi ya kutibu erectile dysfunction and premature ejaculation? na kama zipo ni dawa gani haswa? naomba uzitaje
Naomba ushauri wako ili nimnusuru huyu bwana mdogo ambye kwasasa amekua kama mkiwa...!
watu tunatofautiana sana jamani. mimi mwenyewe nilitaka kuja kuandika hapa leo, matatizo yangu ni kwamba, nachelewa sana kumwaga, nachukua hadi nusu saa hadi dakika 45 wakati mwingine. tatizo ni pale ambapo, inafikia mamaa anasema ameshachoka, na mimi namwona kabisa amechoka na ile miguno ya mwanzo haipo tena. mimi niko bado crazy wakati huo. kibaya zaidi, ni kwamba, nikisha fika kileleni ktk hali ya mda mrefu kama huo, sina uwezo wa kupiga la pili. yaani hiyo ni kama many in one. yaani hadi kesho. sasa naombeni muunganishe na hili, hivi hili ni tatizo gani? au nina upungufu wa sperms? ni mbaya? sijapata malalamiko toka kwa my wife kuwa haridhiki, ila mimi wakati mwingine naona kama ananipunja anaposema ameshechoka wakati mimi bado. nilikuwa najua wanawake ndo wenye nguvu kuendelea zaidi kuliko sisi. hii ni true, wala sitanii, naombeni mnisaidie wajameni.
unakunywa Konyagi nini kabla ya...?... hakuna ubaya kuchukua muda, anapokwambia amechoka mpe muda apumzike, sio baiskeli hiyo!
... 'kipindi cha pili' unamalizia mpaka kileleni, hutakuwa na haja ya 'kupiga la pili'.
1. wakati una do, usimtazame huyo mpenzi wako ikiwezekana funga macho.
2. mweleze mwenzio asikate viuno wakati mnapoanza ku do, mpaka wewe utapokuwa umepoteza mawazo ya ku do kwake.
3. mweleze kuwa mtakata viuno kwa zamu ili wewe usifike kileleni kwa haraka
4. kama njia hizo umetunia ni bado basi hii ni njia ya mwisho na ni nzuri kwa kukusaidia kutofika kileleni mapema.
+chukua chupa ya kama lita moja ya maji, wakati anapo hisi kupoteza fahamu( Utamu unakaribia kileleni) anywe maji, huwa yanapoteza ufahamu wa mwili kuupeleka kweye woga wa maji
Akiweza kutimiza hilo kwa takribani mara kumi mfululizo atakuwa amepona kamisa.
...Kwa upande mwingine kuna rafiki yangu mmoja ana tatizo la kutoweza kusimamisha m*** yake ikawa ngumu vya kutosho na inamtokea wakati anapotaka kupiga bao la pili na hasa anapotunia kondomu, Je afanye nini kumaliza tatizo lake?
Ila na mimi niliwahi kuuliza swali kuhusiana na udogo wa sehemu nyeti za mwanamke. Na nilikuwa interested kujua, kuwa kama kuna tiba and if not what will happen pale anapotaka kujifungua..?? Kuna ndugu aliniomba ushauri about this kuwa demu wake ana sehemu ndogo kiasi hawezi hata kupitisha mambo yake, and it is really a problem to them. Kama kuna mwana JF ana ufahamu, ningependa kusikia ili tumsaidie ndugu yetu huyu.
Kishazi,
Ni kweli kuna wanawake wenye k*** ndogo kama wanaume walivyo na mb*** ndogo. Sasa inakuwa tatizo hasa pale demu anapokuwa na rafiki wa kiume ambaye ana mb** kubwa kupita kawaida. Kwa kawaida sehemu za siri hasa za wanawake hutanuka, ndio maana mwanamke anaweza kuzaa mtoto mwenye bichwa kuubwa hata ukashangaa amepitaje!!! Sasa basi, ili kuweza kuitanua k*** ya mwanamke juhudi za ziada tena kwa uvumilivu mkubwa zinahitajika. Kabla ya tendo lenyewe wacheze ili kufanya muccus ya mwanamke itoke kwa wingi na kulainisha shemeu zile, pia yatumike mafuta ya kulainisha i.e K-jelly yakutosha. Mwanamume aingize taratibu tena kidogo kidogo hadi apate penetration. Akifikia mahali anapata breakthrough asiache bali aendelee hadi apate full penetration. From there on atakuwa amemaliza kazi. Ikumbukwe pia kwamba wakati mwingine ni uoga tu wa mwanamke unaosababisha misuli ya k*** kukaza hadi wakadhani ana K*** ndogo kumbe ni ya kawaida. Kuna couple moja ilitaka kwenda kwa daktari eti wan matataizo ya kutoweza kupata penetration kumbe ni uoga wa mwanamke na maandalizi mabaya wakati wa tendio lenyewe. Mra nyingi uoga hutokana na labda ubakaji aliofanyiwa msichana akiwa mdogo ndio maana kumbukumbuku yake inamkumbusha huko na hivyo hatoi muccus kulainisha mambo
Upo hapo Kisahzi na wengineo?
JF Doctor,
Mbaya zaidi inapotokea kwamba linawika, huwa ni dakika moja au mbili basi huwa anakua kasha "piga bao" (premature ejuculation). ...!