Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 684
Watanzania au Wakenya? Ha ha haa, natania tu....
Hii inaonyesha jinsi gani ambavyo wa watanzania pengine tusivyo makini hata katika mambo yanayohitaji umakini kama kujitangaza kibiashara.
Watanzania au Wakenya? Ha ha haa, natania tu....
Hii inaonyesha jinsi gani ambavyo wa watanzania pengine tusivyo makini hata katika mambo yanayohitaji umakini kama kujitangaza kibiashara.
Hilo banda nyuma ya picha kama choo cha shimo vile!
Nmeipenda background ya hiyo picha!
Jamani,
Nyie vipi?
Hii ni picha tu, nani aliyewaeleza kuwa ni maalum kutangazia biashara?
Usikute Ngoshwe ulipewa kama zawadi na mmojawapo hapo, kisha umeibandika huku!
utakuta kuna watu wa IT wameajiriwa pale , wapo apo tu wanakula mshaharaWameshindwa hata kufanya photoshop..wabongo nuksi aisee kwa incompetence.
mimi nimependa sana hii picha jamaa kaweka ishara ya chadema
Wewe ndio unajua kama hii ni rangi ya CCM. HIi kampuni ya watu binafsi na imejitahidi sana kupunguza adha ya usafiri wa Anga baada ya Shirika lenu la taifa kuregarega kwa ajili ya mabo ya siasa kama haya mnayotaltaka kuleta. Precission mpaka sasa inafanya vizuri. Big up sana Prec Air. Wewe ulipenda rangi gani ya Uniform wenzako hawako kisiasa wako kwenye biashara na wanafanya market research. Mbona ATC hawana uniform za rangi ya kijani lakini inayumba?
View attachment 30161View attachment 30161
Februari 24, 2011, shirika binafsi la ndege la Precesion lilizindua unifomu mpya kwa wahudumu wa ndege wa shirika hilo. Unifomu hizo zimebuniwa na kutolewa na Kampuni ya New City ya Bangkok kwa thamani ya Dalali za Kimarekani 170. 000.
Picha hapo juu ni moja ya tangazo la kuonyesha vazi hilo jipya lenye rangi ya unifomu za chama cha "magamba" ambayo unaweza kuipta katika jarida la kampuni hiyo (PAA, complementary copy, April - Jun, 2011, pg. 77). Ubunifu wa staili ya picha una haribiwa na manzari ya nyuma ya picha hiyo (background) ambayo ni banda la mabati chakavu lenye kutu mbaya (unaweza kuona kufuli ya mlango kwa upande wa kulia) ambayo kwa mtazamo wa haraka haraka unaifanya picha husika kukosa mvuto kabisa .
Hii inaonyesha jinsi gani ambavyo wa watanzania pengine tusivyo makini hata katika mambo yanayohitaji umakini kama kujitangaza kibiashara.
Jaribuni kubadlika bandugu!.
Naona Comment za mwanzoni kabisa za Faiza.Nashanga! huyo alie ruhusu picha hiyo ibandikwe kwenye shirika kama kivutio cha biashara, hafai kuwachwa kazini hata sekunde moja. Totally irresponsible.
Si za "mwanzoni" hizo. Za mwanzoni ilikuwa mwaka 2007, Jamboforums.Naona Comment za mwanzoni kabisa za Faiza.
heee !!! hivi naota ama??Si za "mwanzoni" hizo. Za mwanzoni ilikuwa mwaka 2007, Jamboforums.
Doh kweli we ni Muhenga.Salut.Thats why uko na hekima sana.Si za "mwanzoni" hizo. Za mwanzoni ilikuwa mwaka 2007, Jamboforums.