Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?

Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.

Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
Thread tayari
 
Nafikiri akiguswa atajamba na kunuka, sasa si lazima mtu akijamba utakimbia na kumuacha.. Don't quote me wrong, tht is my thoughts..!! 😅
 
Anamaanisha ye ni kunguni maana kunguni ukimminya ananuka.
 
AKSANTE MMUU.

Sisi Wamwera tuna mdudu anaitwa " NANDOLI" Anatoa harufu mbaya ukimgusa mpaka kero.

Pili kuna majani yaitwa "NUNGA MAI" ukifikicha au ukigusa yananuka mpaka kero"

Kwa ajili ya harufu yake watu huyakwepa kuyagusa, pia mdudu "NANDOLI" naye hukwepwa kuguswa na watu.

MEMBE KUTUMIA KAULI MBIU "NIGUSE NINUKE "

Anatuma ujumbe kuwa sio mtu wa mchezo , wa ku.chezea.

NADICLARE CONFLICT OF INTEREST Mimi UKANA SHILUNGO NI MWERA , TAFSIRI NILOTOA NI SAHIHI, PIA NI TIMU MEMBE 2020.

Kwa sasa ni Kambini Mbekenyera kambi ya form four maandalizi ya mitihani.

Cc😛ascal Mayala

Cc:Kipara Kipya

Cc:Frank Wanjiru

Missile of The Nation
Aiseee chalii yangu umesahau kunitag na mimi humu jamvini watu wabaguz sana
 
AKSANTE MMUU.

Sisi Wamwera tuna mdudu anaitwa " NANDOLI" Anatoa harufu mbaya ukimgusa mpaka kero.

Pili kuna majani yaitwa "NUNGA MAI" ukifikicha au ukigusa yananuka mpaka kero"

Kwa ajili ya harufu yake watu huyakwepa kuyagusa, pia mdudu "NANDOLI" naye hukwepwa kuguswa na watu.

MEMBE KUTUMIA KAULI MBIU "NIGUSE NINUKE "

Anatuma ujumbe kuwa sio mtu wa mchezo , wa ku.chezea.

NADICLARE CONFLICT OF INTEREST Mimi UKANA SHILUNGO NI MWERA , TAFSIRI NILOTOA NI SAHIHI, PIA NI TIMU MEMBE 2020.

Kwa sasa ni Kambini Mbekenyera kambi ya form four maandalizi ya mitihani.

Cc😛ascal Mayala

Cc:Kipara Kipya

Cc:Frank Wanjiru

Missile of The Nation
Nadhani Nunga Mai ni jani la Mmav.mav.!.
P
 
Sasa kwani gari haliwezi kuwepo toka mwaka 2013?
Wewe umewekewa picha ili uone Gari inafananaje, wewe unasema kuwa ilikuwa kwenye convoy ya JK
Sasa kuna ajabu gani sasa Gari ya TISS kuwa kwenye convoy ya rais?
Ni uongo kama uongo mwingine tu wa Kigogo2014. Weka ushahidi sio hizi picha picha tu zisizo na uhalisia mkuu
 
Mikwara tu ya Bwana Membe. Hakuna cha kunuka wala kunukia John akiamua kumshughulikia.
 
Membe anaamini kabisa (na ni ukweli usiopingika) kuwa serekali ya awamu hii inamwogopa sana.

kiuhalisia Membe ni wa pili kuogopwa, wa kwanza kuogopwa sana na awamu hii ni Lissu!
Huko ni kijipa false hope. Rais Dkt John hamuogopi mtu yeyote ndani ya nchi hii. Kama unabisha mwambieni huyo membe wenu aende akamjaribu. Then atawasimulia kitakachompata.
 
Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?

Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.

Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
Mkuu jibu unalo wewe mwenyewe umesema huyo mdudu ukimgusa tu utatamani ujikimbie
 
Anatishia nyau. Kwamba akiguswa atachafua hali ya hewa! thats it.
 
Back
Top Bottom