Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,007
2,000
Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitekenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.

Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!
download.jpg
 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
6,025
2,000
Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitengenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.

Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!
Maisha ya Mtu siyo jambo la kufanyia utani
Taarifa zozote za kudhuru maisha ya mtu lazima yachukuliwe kwa uzito mkubwa
Weka siasa pembeni, angalia uhai wa mtu
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
24,256
2,000
Membe anajitekenya halafu anacheka
Membe kwenye mambo ya ushushushu ni bobezi la character assassination na sanaa zinazohusiana nazo
Hapo yupo kwenye fani yake 100% lakini atakwama tu
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,842
2,000
Ni kauli ya Membe halisi,
Ni account yake ambayo iko verified ndiyo maana Fatuma Karume kaijibu meseji yake
Wewe ni kiazi..
Account umekazana ni verified wakati hata nembo ya verified haina... yawezekana ya fatma nayo ni account feki au naye ni ķiazi kama wewe...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom