Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?

Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.

Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
hakuna mtu wa CCM atakayemgusa huyo.

Bashiru alijaribu kugusa alipata stata ya harufu, ameufyata.
sasa hivi wameishia tu kumtumia yule msukule Musiba!
 
Mleta uzi utakuwa umegida ulanzi wa jioni. Haya mambo ya kujitekenya na kucheka mwenyewe huwa yanakuwa kweli at the end of the time. Biblia inasema maneno huumba. Namshauri Membe au timu yake waache kutengeneza scam fake.
Your very angry mission failed.
 
Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?

Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.

Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
AKSANTE MMUU.

Sisi Wamwera tuna mdudu anaitwa " NANDOLI" Anatoa harufu mbaya ukimgusa mpaka kero.

Pili kuna majani yaitwa "NUNGA MAI" ukifikicha au ukigusa yananuka mpaka kero"

Kwa ajili ya harufu yake watu huyakwepa kuyagusa, pia mdudu "NANDOLI" naye hukwepwa kuguswa na watu.

MEMBE KUTUMIA KAULI MBIU "NIGUSE NINUKE "

Anatuma ujumbe kuwa sio mtu wa mchezo , wa ku.chezea.

NADICLARE CONFLICT OF INTEREST Mimi UKANA SHILUNGO NI MWERA , TAFSIRI NILOTOA NI SAHIHI, PIA NI TIMU MEMBE 2020.

Kwa sasa ni Kambini Mbekenyera kambi ya form four maandalizi ya mitihani.

Cc😛ascal Mayala

Cc:Kipara Kipya

Cc:Frank Wanjiru

Missile of The Nation
 
Some people can not be a solution to problems, because they are a part of the problem.
 
Back
Top Bottom