Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Kwani wewe Kigogo unamfahamu?
Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitekenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.

Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!View attachment 1195170
 
Hawa watunga Mashairi na uongo, naona kama wanjitekenya. Hivi Membe ni president material kweli?

Na hawa chadema kesho Membe akipewa fursa ya kugombea, watumuitaje and kweli watakuwa na ndimi za kumtukana.
Ukiona MTU ambaye unafhani siyo presidential material anamtesa yule presidential ujue kuna tatizo, lilitokea 2015
 
Leo katika hali ya kushtusha, Waziri wa Zamani wa nje na uhusiano wa kimataifa ameonyesha kuguswa na tahadhari aliyopewa kwenye mtandao baada ya kupewa taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru katika safari yake ya kurudi Lindi.
Membe ambaye ni user wa mtandao huo wa Twitter aliujibu ujumbe huo kwa kutoa shukurani nyingi sana ambaye yeye aliita "kutonywa"
Kauli hiyo ya Membe ikajibiwa pia na Mwanasheria na mtoto wa Raisi mstaafu wa Zanzibar, Fatuma Karume "Shangazi"
Mwanasheria huyo akaandika kuwa kama Mti mkavu unatendewa hivi Je Mti mkavu?
Binafsi mimi kama raia nimeshtushwa na tukio hili na hili linaonyesha sisi kama nchi tumefikia hatua gani katika usalama wa wananchi. JE HII HALI YA HOFU NCHINI ITAENDELEA MPAKA LINI

Hapa Chini ni Kauli ya Membe akimjibu mwananchi huyo aliyempa taarifa kupitia kwenye mtandao wa Twitter

Kigogo2014 Asante Kigogo kwa kunitonya. Ni kweli kabisa kuwa safari ya kwenda Lindi imefanyika jana saa 2 usiku. Gari No.T413 CEP ni gari la TISS- (PSU.) Kiongozi wake ameondolewa na kupelekwa kitengo cha madawa ya kulevya.Nina details zote! NIGUSWE..!

View attachment 1195160


View attachment 1195159
View attachment 1195191
Hii PSU imekuwa kama vampiere sasa.
 
Membe anaamini kabisa (na ni ukweli usiopingika) kuwa serekali ya awamu hii inamwogopa sana.

kiuhalisia Membe ni wa pili kuogopwa, wa kwanza kuogopwa sana na awamu hii ni Lissu!
Anchoogopwa Lissu mimi sikioni, je ni ile siasa yake ya kitaalam sana, au ni nyota yake ya ushawishi ambapo hata uwe kichwa maji lazina umwelewe ktk hoja zake?? au ni nyota yake tu ua kupendwa na watanzania ndicho kinamtia kiwewe Magufuli na wenzake??

Bora wanaoogopwa wawe wengi, ili mabonu na mitutu zigawanywe zisiishie kwa Lissu tu.
 
Pascal Mayalla njoo huku si ulisema nimeleta habari za jana aaaah za juzi haya njoo uone.
 
Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?

Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.

Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!


Kuna anayefanana na huyo japo si mdogo wa kukaa kwenye shati "Mnzilanyungu" huyu akikatisha nyumbani kwako ukamsumbua basi siku hiyo jiandae kwenda kulala kwa jirani.
 
Membe awe makini, bahari imeshachafuka
Kama Lissu alivyosema kabla ya kumwagiwa mvua za risasi "I am told people at the top don't think rationally anymore"
 
Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitekenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.

Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!View attachment 1195170
Endeelea kushangaa hivyo hivyo ila usisahau mtumbuaji naye alishakwendaga kwa babu Loliondo kunywa kikombe
 
Membe anajitekenya halafu anacheka
Membe kwenye mambo ya ushushushu ni bobezi la character assassination na sanaa zinazohusiana nazo
Hapo yupo kwenye fani yake 100% lakini atakwama tu
Afadhali kama unakubaliana kuwa BKM ni mbobezi, mengine tuachie sisi maana najua yanakuzidi umri!.
 
Today a former Tanzania foreign affairs minister Bernard Membe was given precaution over his trip to Lindi , that unknown men were meticulously hunting him and one of his loyal guard accepted ransom amount to sell him out. The picture of the unknown men special car will follow later. Let us pray for our beloved and God be with him over all evil plan against him.
Memebe kachero mbobezi hawamuwezi MGUSE KINUKE.
 
Back
Top Bottom