Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,740
Nasi pia tuwe makini kukubali kila showAwe makini kadri 2020 inavyokaribia.
Nasi pia tuwe makini kukubali kila showAwe makini kadri 2020 inavyokaribia.
ndiyo KAKANadhani Nunga Mai ni jani la Mmav.mav.!.
P
pole sana mkuu STEPHANO! Mtu wangu wa NGUVU!Aiseee chalii yangu umesahau kunitag na mimi humu jamvini watu wabaguz sana
Kwani Membe ni chama gani?He hapo ccm wanaingiaje?
Ajaribu basi tuoneMikwara tu ya Bwana Membe. Hakuna cha kunuka wala kunukia John akiamua kumshughulikia.
2020 sio mbali tunamwaga POMBE! 😂😂Mikwara tu ya Bwana Membe. Hakuna cha kunuka wala kunukia John akiamua kumshughulikia.
Amjaribu mara ngapi?Huko ni kijipa false hope. Rais Dkt John hamuogopi mtu yeyote ndani ya nchi hii. Kama unabisha mwambieni huyo membe wenu aende akamjaribu. Then atawasimulia kitakachompata.
Magufuli hatabiriki, anajikomba sana kwa Kikwete na usishangae Ridhiwani kuwa waziri kamili muda wowote. Nani alidhani Mama Salma atateuliwa Mbunge na Magufuli?
Nyie MATAGA mguseni SASA muisikie harufu yakeMara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?
Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.
Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
Ni kweli; ila soap opera lazima tuziangalie piaMaisha ya Mtu siyo jambo la kufanyia utani
Taarifa zozote za kudhuru maisha ya mtu lazima yachukuliwe kwa uzito mkubwa
Weka siasa pembeni, angalia uhai wa mtu
Weka original accountFake account
Aliyatamka lini hayo maneno
Haiko verified ila ni ya membe mwenyeweHapana siyo fake account, iko verified
Ni yeye kabisa 100%
Hahahahahah anakusalia wewe. Yeye Hana shidaSasa yule anayesali karibu na Dstv huwa anenda sali nini?
Kwani huyo anayejiita Namdi Azikiwe Shoo ndio Fatma Karume?Leo katika hali ya kushtusha, Waziri wa Zamani wa nje na uhusiano wa kimataifa ameonyesha kuguswa na tahadhari aliyopewa kwenye mtandao baada ya kupewa taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru katika safari yake ya kurudi Lindi.
Membe ambaye ni user wa mtandao huo wa Twitter aliujibu ujumbe huo kwa kutoa shukurani nyingi sana ambaye yeye aliita "kutonywa"
Kauli hiyo ya Membe ikajibiwa pia na Mwanasheria na mtoto wa Raisi mstaafu wa Zanzibar, Fatuma Karume "Shangazi"
Mwanasheria huyo akaandika kuwa kama Mti mkavu unatendewa hivi Je Mti mkavu?
Binafsi mimi kama raia nimeshtushwa na tukio hili na hili linaonyesha sisi kama nchi tumefikia hatua gani katika usalama wa wananchi. JE HII HALI YA HOFU NCHINI ITAENDELEA MPAKA LINI
Hapa Chini ni Kauli ya Membe akimjibu mwananchi huyo aliyempa taarifa kupitia kwenye mtandao wa Twitter
Kigogo2014 Asante Kigogo kwa kunitonya. Ni kweli kabisa kuwa safari ya kwenda Lindi imefanyika jana saa 2 usiku. Gari No.T413 CEP ni gari la TISS- (PSU.) Kiongozi wake ameondolewa na kupelekwa kitengo cha madawa ya kulevya.Nina details zote! NIGUSWE..!
View attachment 1195160
View attachment 1195159
View attachment 1195191
poapoa 💪💪pole sana mkuu STEPHANO! Mtu wangu wa NGUVU!
Mbona wanaoandika Kiswahili kibovu huwasemi ..............!!?Haujui English Language, grammatical errors kibao.
Na wewe ndiye kiranja waoDunia hii kuna watu bado wajinga sana.