msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,708
- 8,846
Anamaanisha ukimwaga mboga na yeye anamwaga ugali
Informing others who were not aware.
Unajua ukiwa mjinga wakati Mwengine tunaojua tunakusamehe tuKwani lisu aliuawa? Alionywa tu
Hasa we unadhani taarifa hizi Ni za uongo? Vipi kuhusu gari aina hiyo kwenye picha imetajwa?Eti Mh. Membe anaamini maneno ya #Kigogo? Hii huwa inanifanya nijiulize hawa jamaa waliwezaje kufika level hii ya utumishi? kama sio kujitekenya na kucheka basi miaka yote waliyotumikia taifa ili haikuwapa exposure yoyote.
Huu ujinga wa kuamini elimu ya darasani ndio kila kitu, inatuumiza sana watanzania!View attachment 1195170
Hata Kama amestaafu lakini uhai wake Ni wa muhimu SanaMembe amestaafu siasa wacheni kumlisha maneno
Naona umeifahamu hii account ya Kigogo jana! Tunachoshangaa ni Kachero maarufu kupeperushwa na upepo wa social media na hasa huyo kigogo! Kuuliza ni kweli au si kweli ni kama umemjua kigogo jana!Hasa we unadhani taarifa hizi Ni za uongo? Vipi kuhusu gari aina hiyo kwenye picha imetajwa?
Wahi hospital. Umefikia kiwango cha juu cha msongo wa mawazo.Haujui English Language, grammatical errors kibao.
Membe kawa challenge "NIGUSE"... mbona hawamgusi sasa?Huko ni kijipa false hope. Rais Dkt John hamuogopi mtu yeyote ndani ya nchi hii. Kama unabisha mwambieni huyo membe wenu aende akamjaribu. Then atawasimulia kitakachompata.
Magoma motomoto, mambo baaado!!Huku.......Niguse ninuke..... Kule,------- Sijaribiwi