The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,064
Binadamu tunajichosha bure, mie huwa huwa nimekubaliana na hali yangu, nusu takooo wazungu haoo.. maisha yasonga 😅😅
Tena ukishamwaga unakua mkali kisenge, hakuna mazoea
Binadamu tunajichosha bure, mie huwa huwa nimekubaliana na hali yangu, nusu takooo wazungu haoo.. maisha yasonga 😅😅
Binadamu tunajichosha bure, mie huwa huwa nimekubaliana na hali yangu, nusu takooo wazungu haoo.. maisha yasonga 😅😅
Tatizo lipo kichwani acha ubishi,daaah nahisi sio kichwani mkuu kuna mahala labda hapako sawa
daaah yani hata kwa bahati mbaya naperuzi mtandao wa x (zamani twitter) nikakutana na connection ya Giggy money lazima nimwage mkuu changamoto sielewi nnShida ya Hali kama hii, we mwenyewe unakua na wasiwasi na woga Yani hujiamini we mwenyewe ko unakuta ata akili pale haipo... Unaweza sjui Leo wazungu watakuja baada ya daika ngapi? Ko daika 2 Tu wazungu haooo 💦
Unahisi mahali gani hapako Sawa? Hormone au nini? Tofauti na kuhangaikia tatizo Kwa jitihada binafsi umesha jaribu kushirikisha wadau wa afya?daaah nahisi sio kichwani mkuu kuna mahala labda hapako sawa
sijawai kwenda kucheck hospital ila kiukweli kama ni mazoezi sjui ya kegel squart najitahid sana kufanya na hata uume upo imara ila hapo kwenye pre mature ejaculation ndio bado cahangamoto mkuuUnahisi mahali gani hapako Sawa? Hormone au nini? Tofauti na kuhangaikia tatizo Kwa jitihada binafsi umesha jaribu kushirikisha wadau wa afya?
daaah mkuu hujui tu nayopitia inanikata sana hii hali najikuta nashindwa hata kugegeda kabsaaaaaHaina shida kabisa ,wala huo sio ugonjwa ni sifa za wewe kutafuta kuwafurahisha tu wengine kitu ambacho hakina faida .
Jaribu na huko mkuu huenda kukawa na msaada. Pole Kwa changamoto.sijawai kwenda kucheck hospital ila kiukweli kama ni mazoezi sjui ya kegel squart najitahid sana kufanya na hata uume upo imara ila hapo kwenye pre mature ejaculation ndio bado cahangamoto mkuu
mzee ngoja nije PM kwakoKama hujaoa na kupiga mzigo ni mara moja moja kwa manati unatoboa miezi hata miwili hujalamba kitu lazima libido activation iwe juu sana hata demu akikukumbatia unaweza kupiga bao hiyo ni kawaida siyo ugonjwa.
Ila kama kila siku unapiga mzigo alafu bado hilo tatizo lipo hapo kweli ni ugonjwa mzee hauko sawa
shukrani mkuu nitaleta mrejeshoJaribu na huko mkuu huenda kukawa na msaada. Pole Kwa changamoto.
Hakuna kitu kama hicho , wewe umekubali kuulisha ubongo takataka kwamba tako tano ndio ujanja , nusu tako tu linatosha kumpatia mwanamke mimba , hayo mengine ni matatizo ya kujitakia tu bwashee .daaah mkuu hujui tu nayopitia inanikata sana hii hali najikuta nashindwa hata kugegeda kabsaaaaa
aiseeeHakuna kitu kama hicho , wewe umekubali kuulisha ubongo takataka kwamba tako tano ndio ujanja , nusu tako tu linatosha kumpatia mwanamke mimba , hayo mengine ni matatizo ya kujitakia tu bwashee .
Huwa unafanyaje Kegel?kegel nafanya sana Binti wa zamani matatizo mengine ya afya sina zaidi ya madonda ya tumbo
yani hata huko huwa sifiki naishia kumwaga njeswali la msingi..je ukishwamwaga inakuchukua mda gani kuanza round ya pili?? na kama unaweza kwenda round ya pili huwa unatumia mda gan mpk kumwaga?