Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Yani mwanaume unaongelea kuwa wanaume hawana nguvu za kiume?

Ile siku i nakutetea kuhusu kazi yako ya uanamitindo kuhusishwa na mambo ya elogibitiqiu kumbe nikosea sana
Kaka samahani haya mambo humu usichukulie siliasi mkuu nifurahisha genge tu unaeza kuta mleta Mada naye kaaamua tu kutuchangamsha mi nakutania tu mkuu
 
Nimemuuliza kwa sababu huyo ni mwanaume hata jina lake linasadifu mbaya zaidi alidai ni MWANAMITINDO
Aaanhaa, hawa ma fashionista wetu wana mambo mengi!

giphy.gif
 
Oya drugdealer fanya kumtafuta Dr nature. Ingia YouTube search Dr nature ni mshikaji tu ila yuko vizur sanaa kweny haya mambo ni mtu namjua vizuri sanaa. Check contact yake pale consultation fee 10k anamaliza kazi.
 
No no sindano itayo mwezesha kukaa juu had dakika 30 anaichapa tu mkiambiwa muendee hospital hamtak onaa sasa hata mamba ya sindano hamjui
Ahah duh labda siku hizi kuna sindano za kubadiri mazeoa(tabia). Atuambie hiyo sindano gani?

Aaanhaa, hawa ma fashionista wetu wana mambo mengi!

View attachment 3474646
No nimehudumu mambo ya afya naongea kitu nilicho na taaluma nacho si vingine
Oya drugdealer fanya kumtafuta Dr nature. Ingia YouTube search Dr nature ni mshikaji tu ila yuko vizur sanaa kweny haya mambo ni mtu namjua vizuri sanaa. Check contact yake pale consultation fee 10k anamaliza kazi.
Mkuu mtamuongezea tatizo aanzie hospitali kubwa kwanza
 
No no sindano itayo mwezesha kukaa juu had dakika 30 anaichapa tu mkiambiwa muendee hospital hamtak onaa sasa hata mamba ya sindano hamjui

No nimehudumu mambo ya afya naongea kitu nilicho na taaluma nacho si vingine

Mkuu mtamuongezea tatizo aanzie hospitali kubwa kwanza
Dogo unaongea mashudu, unafahamu madhara ya kutumia madawa ya kusisimua?
 
achana na mawazo ya papuchi kama mwezi 1, anza kupiga squat dk5-10.

ruka ruka huku miguu una inyanyua juu kuja kifuani, piga bridge legs exercise (Google uone).

*Kabla ya zoezi piga glasi ya tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7,sagia kitunguu maji 1, katia na kipande cha limao.

*Baada ya zoezi kula ndizi 2(zilizo iva), karanga mbichi, na mboga mboga uki pata na maziwa ngando sio mbaya.

*Mchana au jioni - tikiti maji kipande1, parachichi 1, ndizi, karanga mbichi, na kunywa maji ya kutosha.

Acha uoga, nyeto na kuangalia porno,usi sahau mrejesho (uki zingatia wiki 2-3 una kaa fresh).
 
kukaa mwezi bila ku-sex hapo unakuwa unaongeza nini mkuu kwanini usiendelee kusex huku unafanya hayo mengine nipe mwongozo zaidi kwenye hiyo abstenence ya huo mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom