Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Baadae ukamuacha kisa hakuridhishi?

Sema ukweli mkuu
giphy.gif
 
wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aisee🥲.

hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.

naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha

yani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa

tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.

asanteni sana.
Weka jeneza chumbani kwako ili ukiwa unazagamuana uwe unawaza kifo au ukiwa katikati ya tendo kunja vidole vyako kwa nguvu. Kila la kheri
 
Hapana
Acheni kumdanganya mwenzenu
Mpaka ameleta kisa hapa ujue amejichunguza
Sio kawaida eti ye kila siku anaishia mapajani hata joto joto hajapata ye tayari kashusha engine, kweli?

Cc min -me
Inabid atafute pisi ya kawaida sura ngumu apige jaramba before pisi kali ya kisasa.
 
nielekeze namna bora ya ufanyaji labda nakosea napga squart prank na zingine
Squats siyo kegel mkuu!

Mazoezi ya Kegel unabana misuli yako ya uume na kuachia, ingia youtube uangalie.

Zingatia ushauri wa kukaa na mwanamke kwa muda mrefu na hakikisha ni mtu ambaye anakujali kihisia ili asije akakuza tatizo jingine la kisaikolojia kwa kukubeza au kukuvunja moyo.
 
Hamna bwana
Dk moja kweliii
Em fikiria tu
Hiyo ni kawaida kabisa inategemea na vitu gani amevilisha kwenye ubongo wake kuhusu mizagamuano .

Ngoja nikupe mfano , kuna mtu kwa mke wake hawezi kitu .

Ila akipata mchepuko anakua na mapafu ya mbwa.

Haya mambo yamekaa kisaikolojia zaidi .
 
Shida zingine tafuta wataalamu, watu waliopitia hiyo hali au wazee wakusaidie. Japo hata humu wanaweza kuwepo hivyo all the best mkuu
 
Una hela ? Nenda Benjamin mkapa hospital dom nenda kitengo cha urology watakupima utapewa tiba kama ni kuchomwa sindano au dawa ya kawaida achana na hawa wasikuletee mambo ya tangawizi sijui nini acha fanya nilivo kwambia mkuu ukishangaa utaongeza matatizo
 
Una hela ? Nenda Benjamin mkapa hospital dom nenda kitengo cha urology watakupima utapewa tiba kama ni kuchomwa sindano au dawa ya kawaida achana na hawa wasikuletee mambo ya tangawizi sijui nini acha fanya nilivo kwambia mkuu ukishangaa utaongeza matatizo
Atachomwa sindano ya kitu gani?
 
Hizi ni drama tu , jamaa hana shida ila kuna namna anaokutana nao sio level zake na hili likamchanganya akili , hapo shida ni akili tu
Wapo wenye hizo changamoto, hisia zao zinakua juu sana na wanakua anxious, hata achukue msichana wa level gani bado shida iko pale pale, ni kisaikolojia zaidi.
 
Back
Top Bottom