Kagosaki
JF-Expert Member
- Feb 11, 2010
- 208
- 56
Katika gazeti la Guardian ya leo, PPF wametoa tangazo la kumfukuza kazi Bi. Gisella Mhoro. Dada huyu alinin'gang'ania sana mwaka jana tumkatie mafao yetu ili aweze kutoa cheque zetu. Nawapongeza sana PPF kwa kumnasa dada huyu. Mafao ni jasho la mtu, haliliwi hovyo. Natoa mwito kwa PPF wasiishie hapo bali waendelee kuwachunguza wengine.