Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
- Thread starter
- #141
Wakuu
Let assume we have the right VISION na tunayo VISION 2025
Attachemnt hii hapa.
Humo kuna mambo na maelezo mengi but as usual yako kwenye makaratasi .Sasa Katika leadership management na operation level(wananchi)
- Nini Role ya Kila participant(Seriali Viongozi mwananchi, taasisi ) au nani mweye wajibu fulani hafanyi role yake vizuri na alitakuwa kuifanya vipi ?
Sehemu ya tatu kuna target za VISION 2025 ambapo kuna mambo kama
- High Quality livelihod
- Good Governace and rule of law
- Strong and competitive economy
Je haya mambo na mengine mengi tunayapimaje kujua hatua na tunapima kuliganisha agaist or with what ? Mfano tukisema strong competive economy ilii tuondoe umasikini inabidi tuexport zaidi bidhaafulani nje?Au tujitaidi kuzalisha bidhaa zetu wenyewe au Turuhusu Soko huria regedless bidhaazinatoka wapi hata kama itau kiwanda/Ajira za nyumbani. Je wote tunakukubaliana tafsiri wa IFM na WB juu ya competetive economy ?
Je What is the prority sector ya economy yetuTanzania .Nina wasi wasi Inawezekana nguvu zetu zinapelekwa kwenye shemu ambazo sio key na kama ni key sector basi sera nyingi zinaishia kwenye makaratasi.
Mfano halisi ni ni ATCL/ TRL. Nguvu kubwa inapotezwa kufufua shirika mfu la ATCL wakati halina na haliwezi kuwa na mchango wowote mkubwa katika umasikini wa Mtanzania.Tunaona miradi ya viwanja vya ndegevya kimataifa kila bajeti .......
Good Governance kuna mfano mdogo tu abahatujenda mbali wa VX za VONGOZI . Kila wiki VX hizi zina wekewa zaidi lita 150 za fuel. So Mawaziri.Makatibu wakuu ma RC wetu wangeweza kukata mpaka 30%-40% ya gharama ya mafuta(Administration cost )nakuzipeleka kwenye miradi
Mtazamaji,
Asante kwa hii kumbukumbu. Ninaipitia.