Posho yaanza kuleta ugomvi kwa Mukama na Nape

Lakini the difference is Komba kila alivyokuwa akizidi kunenepa wanachama walikuwa wakizidi kuongezeka!
 
Nimeipenda sana hii mkuu
 
Napenye kakanusha jana kasema sekretariet yao ina kaumoja na mshikamano sana'
 
Nape alikwishatamka kwa mdomo wake mwenyewe akiwa Missenyi mkoani Kagera kwamba hata wanachama wote CCM wakihama akabaki peke yake chama hakitakufa.
 
Singida Jee?

Kabla ya ujio wenu wa fujo hii nchi ilikuwa kwenye amani na utulivu, siasa zenu maji taka na za kijinga ndio zinapelekea watu kuuwana. Kuna sera ya amani ikawa ya "wapiganaji"?
 
​posho za nape zinakutesa
Singida Jee?

Kabla ya ujio wenu wa fujo hii nchi ilikuwa kwenye amani na utulivu, siasa zenu maji taka na za kijinga ndio zinapelekea watu kuuwana. Kuna sera ya amani ikawa ya "wapiganaji"?
 
​sasa mnaona lowasa na rostam walivyo mabwana wa ccm bila wao kuwaangukia chama chenu kwishney ccm bye bye
 
Mkikosa
hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine
na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!

Yaani kuna matumizi ya ovyo ya fedha za ruzuku kiwango hicho? Hata
msajili wa vyama hajazuia ruzuku? CAG naye hajaona, Ofisi ya PM nayo je?
Bunge? Jakaya kikwete kimya? Ama kweli serikali ni dhaifu.
 
Yaani kuna matumizi ya ovyo ya fedha za ruzuku kiwango hicho? Hata
msajili wa vyama hajazuia ruzuku? CAG naye hajaona, Ofisi ya PM nayo je?
Bunge? Jakaya kikwete kimya? Ama kweli serikali ni dhaifu.

Ikiwa Serikali ni dhaifu sasa hao wapinzani wakoje? hapo sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…