Lukuvi kanishangaza jambo moja, eti Zitto amepora hoja ambayo walikwisha iandaa, mbona wavaa magamba wenzake wanakataa posho kuondolewa. ila kama itakua hivyo mi nafurahia jambo jingine.Viongozi wa wilaya watakuwa wanapatikana ofisini mana cku hizi kila cku ni vikao kumbe posho!!! Kweli ufidadi tz umekinai
Mbowe, Zitto wamekwisha kopa posho zao kwa hiyo hawana cha kuchukua wanatudanganya. Mbowe hajapinga baada ya lukuvi kudhibitisha kuwa walikopa
Hii ni bullshit!kama wabunge wanapewa mikopo kwa kutegemea sitting allowances zao na sisi tudhaminiwe tupate mikopo kwa kutumia per diem!!Hawa watu wancheza na akili zetu....Mhe. Mbowe kakiri kiutu uzima posho wameshachukulia mikopo,
kaamisha mada, mtangazaji imebidi awe muelewa,na kuacha kuhoji suala la posho
Wewe ni mgonjwa kweli, Mbowe na Zito wamemwibia nani????? Maghamba type!!!!!!! Umaarufu wa nini, kwani posho hizo haziwezi kuboost maendeleo ya nchi??????Wanatafuta umaarufu tu hawana lolote si chochote hao! Mboe,zitto kila siku wanagombania madaraka ndani ya chadema wiz mtupuuuuu!!
unajifungua lini mkuu?Wanatafuta umaarufu tu hawana lolote si chochote hao! Mboe,zitto kila siku wanagombania madaraka ndani ya chadema wiz mtupuuuuu!!
Lukuvi anasema Mh. Zitto amelichukua ili swala la posho kama lake binafsi , wakati serikali imekwisha litolea ufafanuzi kwenye vitabu vyake ambako ndiko Zitto aliko lichukua
Trust no Politicians, kama tunadhani kuwa sisi ni ma-great thinkers basi ni bora kutumia muda huo katika kubuni na kuandika miradi ya maendelea na kuishawishi jamii yetu ijikite katika kujishughulisha zaidi, great thinker yeyot katika nchi zinazoendelea hupoteza sifa yake pale anapoamua kuchangia mambo ya siasa na kuwashauri wanasiasa wa nchi hizo........Thats just a red code.
jamaa hawataki posho ila wameshazikopa hata kabla ya vikao.
posho zipunguzwe, ni nyingi mno
hehehe ndo naenda kuchukua form ya kukopa hapa kupitia per diemHii ni bullshit!kama wabunge wanapewa mikopo kwa kutegemea sitting allowances zao na sisi tudhaminiwe tupate mikopo kwa kutumia per diem!!Hawa watu wancheza na akili zetu....
Kweli CCM tunatisha kwa ku paste! Suala ya Katiba mpya walianzisha wapinza tukalichukua juu kwa juu likatushinda! Naona na hili la posho tunataka kulidaka! Ee mungu tusaidie tusiumbuke!
Mbowe, Zitto wamekwisha kopa posho zao kwa hiyo hawana cha kuchukua wanatudanganya. Mbowe hajapinga baada ya lukuvi kudhibitisha kuwa walikopa