Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Sitegemei Hamad azungumze tofauti na alivyosema kwa kuwa hiyo ilikuwa ni hoja ya Chadema. Na hapo mjue huyu bwana kafika mwisho wake wa maisha ya kisiasa. Unaona hata uongozi wa wabunge wa cuf chama chake kimemuengua. Hana jipya.
Sio hivyo tu huko zanzibar kuna wabunge wengine kwanza ni kama madiwani wa Tanzania bara. Kuna majimbo mbunge jumla ya idaidi waiga kura jimboni ni i kichekesho .Mpaka unajiuliza serikali ilikuwa na ulazima gani wa kugawanya majimbo mengi hivyo.
Na bado wananchi tutadai hata idadi ya wabuge na majimbo ipungue maana inaonekana mengi yanaanzishwa kwa sabbau ya kisiasa.