Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Usafi huanzia mwilini mwako kama hujui wewe ni msafi ama la! basi hautaweza kufahamu mazingira yanayokuzunguka ni masafi pia ama la! Leo hatuwez kuchunga sh 10 tunayoipoteza wenyenyewe tutaweza kweli kuchunga hayo mabilioni yanayopotea kutokana na wawekezaji. mwizi asipobadilika kamwe hawezi kuona uchungu vitendo vya wizi vikiendelea. Lazima tusijisafishe kwanza sisi wenyewe hasa wabunge. Usitudanganye Hamad rashid.