it's ok kukataa posho.Ila kukataa na kuelekeza zipelekwe wapi ni kuzikataa nusu nusu.why?kwa sababu kuelekeza ziende wapi indicates you are exercising a certain right over hizo posho whilst umezikataa kwa maana ya HUZISTAHILI!Swali.Kama hustahili una haki?Naona WAZIKATAE JUMLA!What does this mean? Au alifikiri watu wanabeep walipokuwa wanataka posho ziondolewe?