slimdaddy 1993
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 212
- 138
Yan nipime mm majibu apewe mwingine tena yakiwa ndan ya rambo loooh
Imeniuma alichokufanyia huyo dokta...Kuna madaktari nadhani hii kazi sio wito kabisaa kwao, nmekumbuka iliwahi nitokea lkn kwa kesi tofauti, nlkuwa mjamzito mimba ya miezi nane (R.I.P mwanang), nlkuwa naumwa nkaenda hospitalini nikamwambia Dokta naumwa, hakunipima akaniandikia dawa nkanywa, siku ya kesho yake nkashinda vzr ya tatu nkazidiwa kufika hospitalini Dr yule yule akanibadilishia dawa bila kunipima , kufika usiku nkazidiwa kumbe ni uchungu nkajifungua , lkn mwanang alitoka upande mmoja ameoza , ikabidi nikimbizwe hosp nyingine yule Dokta wa pili alishangaa akasema toka lini mjamzito akatibiwa bila kupimwa na huruhusiwi kunywa dawa ovyo, akasema hawa ndio wanaotufanya tuonekane wajinga, mtoto dawa zimemuua, sijawahi kuumwa roho kama ile siku, nlivyopona nkamfata nkamwambia unanikumbuka akajidai sijui nini nkamwambia subiri nkakushtaki kwa ulichonifanyia maana ushahidi nnao, aliniomba msamaha hadi machozi, lkn sijasahau hilo tukio hadi leo.
Maisha ni kufurahi. Hakuna kununa nuna mkuu!''september 11 Twin tower" Hahahahaaaaahaa..Jf hatari sana ujue nilikuwa nimenuna mbaya nimecheka na nampigia wangu wa moyo sasa hivi nimwambie nampenda saaaaana.Et twin Tower hahaa
Mamaang mlokole akanambia kama ameomba msamaha msamehe tu, huwezi jua Mungu alipanga nini,ni kitu ambacho hakijanitoka kichwani hadi leo dearImeniuma alichokufanyia huyo dokta...
So hakuchukuliwa hatua yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante
Pole mno mpendwa... Mungu akutibu jeraha hiloMamaang mlokole akanambia kama ameomba msamaha msamehe tu, huwezi jua Mungu alipanga nini,ni kitu ambacho hakijanitoka kichwani hadi leo dear
Amina na ahsante sanaaa
pole sana kwa huo mtihan, na huo ndo ukubwa.. kama ni ridhiki yako itabaki kuwa yako ila kama haikuwa yako basi kuna mtu mungu kakuandalia, WE PRAY WITH U.Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.
Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.
Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.
Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.
Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.
Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.
Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.
Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.
Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.
Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.
Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.
Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.
Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.
Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.
MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?
ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
promo yako nimeielewa, tisha sana!!Aisee!
Pole sana mkuu, lakini kwa akili za kawaida ni kwanini hukujiongeza kuuliza kwanini DK alikuuliza hilo swali! Hapa ungepata majibu na ungeamua hatima yako na mpenzi wako.
Lakini pia ni utaratibu gani unapima wewe majibu anapokea mtu mwingine(this is unfair for sure) mmeridhiana wenyewe nani wakuwatenganisha? Pia inamaana huyo mpenzi wako hujawahi kumdinya tangu kujuana kwenu! Maana sidhani kama ni rahisi kiivyo. Maisha yamebadilika now days, yale mambo ya kuuziwa mbuzi kwa gunia yalizikwa september 11 Twin tower"
Kama itakupendeza njoo nikupe mwanamke tena ni mzuri,mcha mungu na anajielewa na anauhitaji wa mume wa uhakika na siyo sisi wadinyaji na kusepa.
Nimemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
A
na hz ni chuki za kidin wala hakuna kingne!!Msabato kaenda kupima kwenye hospitali inayomilikiwa na Roman Catholic kisha kaleta bandiko.
Nimeuliza mashehe na wachungaji na mapadre na maaskofu swali ; hivi pamoja na aina anuai za dini, madhehebu, masinagogi, misikiti na nyumba za ibada kwani kuna Mungu wangapi? wakanijibu Mungu ni mmoja tu.
Nikaconclude binafsi sioni haja ya kuwa na vita za kidini
Wazee wa kuunganisha doti mmeanza
Hata walokole ndio zao unasindikizwaHizi imani bhana!
Asa majibu yako unampelekeaje mchungaji 😂😂
Jaribu kumbembeleza zaidi hata ikiwezekana muende hospital anayoiamini yeye ukapime tena
Hapa kuna UONGOOO WA KIWANGO CHA LAMI... KAMWE MAJIBU YA UKIMWI YA MTU HAPEWI MTU MWINGINE...!! HASA BILA WEWE KUJUAA..Aisee!
Pole sana mkuu, lakini kwa akili za kawaida ni kwanini hukujiongeza kuuliza kwanini DK alikuuliza hilo swali! Hapa ungepata majibu na ungeamua hatima yako na mpenzi wako.
Lakini pia ni utaratibu gani unapima wewe majibu anapokea mtu mwingine(this is unfair for sure) mmeridhiana wenyewe nani wakuwatenganisha? Pia inamaana huyo mpenzi wako hujawahi kumdinya tangu kujuana kwenu! Maana sidhani kama ni rahisi kiivyo. Maisha yamebadilika now days, yale mambo ya kuuziwa mbuzi kwa gunia yalizikwa september 11 Twin tower"
Kama itakupendeza njoo nikupe mwanamke tena ni mzuri,mcha mungu na anajielewa na anauhitaji wa mume wa uhakika na siyo sisi wadinyaji na kusepa.
Nimemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
A
Wasabato mtaacha lini chuki zenu dhidi ya Kabisa Katoliki? Lengo la Uzi wako ni kulipaka matope kanisa katolikiKama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.