Popote ulipo wewe daktari, Mungu akulaani sana

Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.

Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.

Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.

Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.

Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.

Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.

Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.

Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.

Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.

Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.

Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.

Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.

Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.

Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.

Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.

MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?

ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
Pole sana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasabato vs RC .....mnapenda sympathy ya public hatari sana ! Hii story niya kutunga bila shaka shame msabato fake

Sent from my iPhone using JamiiForums
Na ataupata ukimwi kweli hajui maneno yanaumba
 
Aisee!

Pole sana mkuu, lakini kwa akili za kawaida ni kwanini hukujiongeza kuuliza kwanini DK alikuuliza hilo swali! Hapa ungepata majibu na ungeamua hatima yako na mpenzi wako.

Lakini pia ni utaratibu gani unapima wewe majibu anapokea mtu mwingine(this is unfair for sure) mmeridhiana wenyewe nani wakuwatenganisha? Pia inamaana huyo mpenzi wako hujawahi kumdinya tangu kujuana kwenu! Maana sidhani kama ni rahisi kiivyo. Maisha yamebadilika now days, yale mambo ya kuuziwa mbuzi kwa gunia yalizikwa september 11 Twin tower"

Kama itakupendeza njoo nikupe mwanamke tena ni mzuri,mcha mungu na anajielewa na anauhitaji wa mume wa uhakika na siyo sisi wadinyaji na kusepa.

Nimemaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
A
nakuja mkuu
 
Hii chai hata haijakolea sukari. Imepikwa na mgeni wa mapishi.
 
Wasabato mtaacha lini chuki zenu dhidi ya Kabisa Katoliki? Lengo la Uzi wako ni kulipaka matope kanisa katoliki
Mkuu hii posti ina dosali pale alipotamka kanisa katoliki nafikiri kuna njama za kulichafua kanisa katoliki hapa mana hasingetaja kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.

Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.

Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.

Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.

Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.

Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.

Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.

Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.

Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.

Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.

Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.

Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.

Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.

Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.

Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.

MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?

ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
Na huyo mchungaj wake ni mjinga sana kwanini asikwambie mwenyewe kbla ya kuwaita wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakumlaumu si daktari ni huyo mchungaji wa kisabato kwa sababu inawezekana ile barua aliyoipeleka hospitalini ilikuwa inataka uandikiwe wewe ni positive. pole kwa yaliyokukuta, matapeli wa kidini wapo wengi ni kuomba imani Kuwait
 
Pole sana mkuu. Huyo daktari ni muuaji kabisa na sidhani kama ana maadili ya kazi
Anaonekana anatamaa sana na ana wivu alikuonea wivu tu akaona akuharibie.
Ila piga moyo konde matharan umeshajiridhisha ukaona uko safi basi we tulia tu huyo mchumba kama anajielewa atajirudi tu na utampata Ila nae kama atazidi kuwa na moyo wa plastic basi.
Wanawake n wengi utapata mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daktari Hana kosa. Majibu yanafanyika maabara. Daktari anatafsiri majibu kutoka maabara. Kosa ni la watu wa maabara. Inaonekana walichanganya sampuli au walikosea kusoma kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom