Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 532
- 893
Habari zenu waheshimiwa?
Naomba niwaeleze jambo moja muhimu ambalo linaweza kusaidia baadhi ya watu humu ndani wakajipatia kipato cha ziada.
Sisi ni HAMIA DIGITAL tunahusika na huduma za kidigitali ikiwemo kudesign na kusambaza digital cards za mwaliko kama harusi, sendoff, kitchen party, graduation, birthday, nk, lakini pia tunatoa huduma nyingine nyingi kama website design, branding, printing, etc.
Unawezaje kuingiza kipato kupitia huduma ya Digital Cards?
Sawa, iko hivi. Tumetengeneza website maalum kwaajili ya mtu yeyote anayetaka kuwa wakala wetu popote pale alipo (awe na smartphone tu) lakini pia wenye stationery, printing shops, event planners, MCs, nk ili watakapoona mtu yeyote mwenye tukio linalohitaji digital cards basi amkaribishe kutumia huduma zetu kisha apate kamisheni.
Hatua za kuwa wakala wetu ni rahisi sana;
Jiunge hapa:
- Hamia Referral
Uzuri ni kwamba unajiunga kwa kuweka namba yako ya simu, jina, kisha unachagua mkoa uliopo na baada ya hapo unakuwa umemaliza usajili. Utaona referral code yako (copy) link yako maalum, mfano: Hamia Cards (copy pia) na utaweza kuingia kwenye dashboard yako ili kuona umepata wateja wangapi, nani kashalipia, pamoja na kipato ulichopata.
Link yako (Hamia Cards) ndio utakuwa ukiwatumia wateja wanaohitaji digital cards, wakiweka order tu kupitia hiyo link wewe utapata 5%-10% kulingana na gharama ya oda ya mteja wako, pindi tu mteja wako atakapofanya malipo utapokea SMS kwenye namba uliyotumia kujiungia ikionyesha kiasi alicholipa mteja wako, huduma aliyofanya, pamoja na mapato yako kutokana na oda hiyo! Ukiingia kwenye dashboard utaweza kutoa mapato yako muda wowote utakao wewe, muamala utaingia kwenye simu yako ndani ya muda mchache tu.
Harusi nyingi zikiwa na kadi chache ni 100, mara nyingi kawaida ni kuanzia 200, kadi zetu za kidigitali ni Tsh 1500 kwa kadi moja, hivyo wewe utapata gawio lako kati ya 5%-10% kulingana na oda. Na kawaida ni 10% gawio ila kuna muda mteja anakomaa sana kuomba punguzo, mteja wako akipatiwa punguzo that means gawio lako litashuka kidogo, lakini akilipia ile ile Tsh 1500 wewe utapata ile ile 10%.
Kwa wenye maswali mnaweza uliza hapa, lakini pia unaweza uliza tucheki kwa mawasliano yetu;
+255 749 987 122
hello@hamiadigital.co.tz
hamiadigital.co.tz

Hamia Digital
Hamia Digital — Digital invitations, Bulk SMS, websites, branding, printing and creative digital solutions.