Popote ulipo wewe daktari, Mungu akulaani sana

Aisee!

Pole sana mkuu, lakini kwa akili za kawaida ni kwanini hukujiongeza kuuliza kwanini DK alikuuliza hilo swali! Hapa ungepata majibu na ungeamua hatima yako na mpenzi wako.

Lakini pia ni utaratibu gani unapima wewe majibu anapokea mtu mwingine(this is unfair for sure) mmeridhiana wenyewe nani wakuwatenganisha? Pia inamaana huyo mpenzi wako hujawahi kumdinya tangu kujuana kwenu! Maana sidhani kama ni rahisi kiivyo. Maisha yamebadilika now days, yale mambo ya kuuziwa mbuzi kwa gunia yalizikwa september 11 Twin tower"

Kama itakupendeza njoo nikupe mwanamke tena ni mzuri,mcha mungu na anajielewa na anauhitaji wa mume wa uhakika na siyo sisi wadinyaji na kusepa.

Nimemaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
A
''september 11 Twin tower" Hahahahaaaaahaa..Jf hatari sana ujue nilikuwa nimenuna mbaya nimecheka na nampigia wangu wa moyo sasa hivi nimwambie nampenda saaaaana.Et twin Tower hahaa
 
Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.

Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.

Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.

Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.

Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.

Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.

Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.

Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.

Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.

Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.

Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.

Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.

Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.

Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.

Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.

MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?

ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
Mjinga wewe unataka kuleta mafarakano kati ya Wakatolik na Wasabato
 
Mkuu muwe mnauliza mapema! Kabla ya kwenda sijui kwa mchungaji mpime wenyewe huko kwa mchungaji mnaenda kutimiza ratiba tu! Siku hizi kupima HIV ni simple sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.

Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.

Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.

Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.

Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.

Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.

Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.

Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.

Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.

Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.

Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.

Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.

Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.

Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.

Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.

MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?

ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
Pole sana ndugu,hivi nyie wenzetu wasabato mnaruhisiwa kulaani..?
 
msabato vs RC
Umeandika uongo
 
Kwanini usingeenda kupima wewe mwenyewe Kwanza. Then ndio uende na huyo binti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe ni mjinga kwani daktari ndio alikuwa maabara? kwa akili zako inaweza kuwa kweli umeanzisha uzi kumdanganya mtoto wa watu ndio maana umemtaja jina ili akisoma akuoneee huruma, Sijui usaidiweje katika ujinga huu.
 
Hii ni chai.. utaratibu haupo hivo.mimi mwenyewe nipo sekta ya afya.hatuna utaratibu kama huo.. cc Sky Eclat
 
Pole sana Mama
Kuna madaktari nadhani hii kazi sio wito kabisaa kwao, nmekumbuka iliwahi nitokea lkn kwa kesi tofauti, nlkuwa mjamzito mimba ya miezi nane (R.I.P mwanang), nlkuwa naumwa nkaenda hospitalini nikamwambia Dokta naumwa, hakunipima akaniandikia dawa nkanywa, siku ya kesho yake nkashinda vzr ya tatu nkazidiwa kufika hospitalini Dr yule yule akanibadilishia dawa bila kunipima , kufika usiku nkazidiwa kumbe ni uchungu nkajifungua , lkn mwanang alitoka upande mmoja ameoza , ikabidi nikimbizwe hosp nyingine yule Dokta wa pili alishangaa akasema toka lini mjamzito akatibiwa bila kupimwa na huruhusiwi kunywa dawa ovyo, akasema hawa ndio wanaotufanya tuonekane wajinga, mtoto dawa zimemuua, sijawahi kuumwa roho kama ile siku, nlivyopona nkamfata nkamwambia unanikumbuka akajidai sijui nini nkamwambia subiri nkakushtaki kwa ulichonifanyia maana ushahidi nnao, aliniomba msamaha hadi machozi, lkn sijasahau hilo tukio hadi leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kufanya hivyo vitu vipimo kwa utaratibu huo huo, ila tofauti ni kwamba pamoja na majibu kupelekwa kwa mchungaji, wahusika tulipewa majibu yetu straight tukiwa na Dr.

Naamini mleta mada anataka kufarakanisha hizi taasisi mbili, RC vs SDA.
 
Hili andiko ni uongo mtupu, majibu ya vipimo anapewa aliyepimwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
INAWEZEKANA KUNA KILICHOANDIKWA KWENYE BARUA YA KANISANI,MAMBO YA IMANI YANA CHANGAMOTO NYINGI SANA.

KWA MLETA MADA;

POLE SANA NDUGU, HAO NDUGU WA KIKE WANAJUA UMEENDA KUHONGA ILI UM'MALIZE BINTI YAO, NA VIPI HAPO KANISANI KWENU TETESI HAZIJAANZA BADO?

INAWEZEKENA PIA KUNA UNALOEPUSHWA NALO HIVYO USILAZIMISHE MAMBO, HUENDA BAADA YA MDA KWENDA UKAJA KUTUAMBIA HUYO BINTI ALIOLEWA NA WAKASHINDWANA KWENYE NDOA (MFAANO TU.
 
Huu ni uongo hakuna Daktari wa hivyo. Acha kuchafua taaluma za watu.
 
Back
Top Bottom