Huu utumwa na kuwa brainwashed kipumbavu kwa sababu za kiimani mtaacha lini? unapimwaje wewe na majibu apewe mtu mwingine? Ndiyo maana mliambiwa year 2000 ingekuwa mwisho wa dunia na mkaamini.Aisee!
Pole sana mkuu, lakini kwa akili za kawaida ni kwanini hukujiongeza kuuliza kwanini DK alikuuliza hilo swali! Hapa ungepata majibu na ungeamua hatima yako na mpenzi wako.
Lakini pia ni utaratibu gani unapima wewe majibu anapokea mtu mwingine(this is unfair for sure) mmeridhiana wenyewe nani wakuwatenganisha? Pia inamaana huyo mpenzi wako hujawahi kumdinya tangu kujuana kwenu! Maana sidhani kama ni rahisi kiivyo. Maisha yamebadilika now days, yale mambo ya kuuziwa mbuzi kwa gunia yalizikwa september 11 Twin tower"
Kama itakupendeza njoo nikupe mwanamke tena ni mzuri,mcha mungu na anajielewa na anauhitaji wa mume wa uhakika na siyo sisi wadinyaji na kusepa.
Nimemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
A
Kumbe mpaka zama hizi bado zipo ndoa hizi za kizamaniKama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.
Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.
Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.
Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.
Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.
Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.
Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.
Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.
Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.
Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.
Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.
Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.
Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.
Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.
MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?
ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
Mkuu vipi? Umechanganya madesa?Huu utumwa na kuwa brainwashed kipumbavu kwa sababu za kiimani mtaacha lini? unapimwaje wewe na majibu apewe mtu mwingine? Ndiyo maana mliambiwa year 2000 ingekuwa mwisho wa dunia na mkaamini.
Sikusikitii kwa kashkash ulizozipata baada ya kupokea majibu bali nakusikitikia kwa kuwa brainwashed kiasi ambacho akili na maamuzi yako si wewe unayevicontrol bali wachungaji wako. Tumia akili yako, kuwa na maamuzi juu ya mustakabali wa maisha yako. Hizo imani za kidini mnazoaminishwa ukizitanguliza katika kila kitu unakuwa punguani.
All in all make sure you sue that crooked doctor.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Story ya kutunga hii.. Kwa tabata hospitality ya mission siikumbuki zaidi ya pale Aroma ambayo ni binafsi kuna sanamu tu ya Mariamu ambaye ni Mama take na Yesu.. Na kupima wataandaliwa wanaopima na majibu wanapewa wahusika kwa kushauriwa ipasavyo bila sent yoyote..Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.
Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali naye ambaye ambaye sisiti kumtaja jina lake anaitwa Winfilda Yusto Kingomile.
Mimi na huyo binti tukakubaliana kuwa wachumba kiukweli nilifurahi sana.
Sasa kama zilivyo taratibu zetu za kisabato. Mchungaji wetu akatuandikia barua ambayo tulipaswa kwenda mayo hospitali tukapime ili tujue afya zetu kwa ajili ya kujiandaa na harusi yetu.
Mimi na mchumba wangu tulienda mpaka hospitali moja ya misheni inayomilikiwa na kanisa la Roman Catholic kiukweli siwezi kuitaja jina kabisa iliyopo Tabata.
Tukamkabidhi daktari ile barua yetu tuliyotoka nayo kanisani kwetu, baada ya kuisoma daktari akatuelekeza kuelekea maabara kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.
Baada ya kama saa moja mimi nikaitwa chumba cha daktari nilipoingia cha kwanza daktari aliniuliza swali kwamba " una hela"?
Mimi nikamjibu "sina hela" huku nikiwa sijaelewa mantiki ya swali lile.
Basi daktari akaamuru na mchumba wangu aingie ndani. Alipoingia ndani daktari akatukabidhi majibu yetu yakiwa yapo kwenye bahasha na tulitakiwa tukampe mchungaji wetu kanisani bila ya kufungua bahasha hiyo.
Kwa sababu ya imani nzuri tuliyonayo ni kweli hatukufungua bahasha ile ya majibu yetu mpaka tukamkabidhi mchungaji wetu pale kanisani.
Baada ya mchungaji kusoma majibu Yale ghafla akawa mnyonge na akatuagiza tuwaite wazazi wetu waje pale kanisani. Ni kweli baada ya wazazi wetu kuja sisi tukatolewa wakabaki wazazi tu kwa mchungaji.
Baadaye wazazi wangu waliniambia kwamba majibu yanaonesha nimeathirika hivyo ndoa hakuna tena.
Kiukweli nilichanganyikiwa sana tena sana. Ila baba yangu mdogo alinishauri nikapime sehemu nyingine kwa kujiridhisha.
Nikaenda kupima Muhimbili, Amana, Mwananyamara, magomeni, Agakhan, kote huko nikaambiwa sina UKIMWI.
Nikajitosa kwenda kuchangia damu pia damu yangu ikaonekana ipo safi.
Nikarudi kumbembereza mchumba wangu na kumwambia kila kitu lakini yeye na ndugu zake hawataki kabisa kunisikia. Nikamwambia mchungaji wangu yaliyotokea naye amebaki kaduwaa tu.
MPAKA SASA SIJAJUA HUYU DAKTARI ALIKUWA ANAMAANA GANI?
ULAANIWE SANA WEWE DAKTARI.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] worry not.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Duh..! Nilidhani nimem'quote mleta uzi, pole sana lakini nadhani ujumbe umemfikia though indirectly.
Sorry for the inconveniences caused.
swali fikirishi,,, inawezekana mchungaji kajipigia chepuo kaona dogo anaenda kufaidi wakati nae anahitaji mzigoTafuta chaguo lako,Hilo ni chaguo la Mchungaji,Je kama Mchungaji nae kakupiga cha uwani (Kwenye barua)..........
Mtazamo tu!
Hahahah...
Kwa nini sasa umemtaja jina binti...
Hahahah.... Aisee
Sent using Jamii Forums mobile
Kwasababu ni stori ya uongo.