Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,366
- 183,358
Sure! Ukitaka amani ya moyo acha kufatilia mtu wako!!Stay away na simu mimi mwenye simu naiheshimu .
Simu inaweza kuvuruga furaha yako.
Sure! Ukitaka amani ya moyo acha kufatilia mtu wako!!Stay away na simu mimi mwenye simu naiheshimu .
Simu inaweza kuvuruga furaha yako.
Ebo umeolewa sio mchepuko, so unahaki ya kushika simu yake na yeye ashike yako. Ila kwangu mie kweli ushikaji wasimu kwa wote sio poa maana utachanganyikiwa mana kila mtu anabiashara zake kazoeana na watu na mengine mengi.Kwa sababu siyo simu yake.
Nipo zangu kipande cha CocoBeach Time hii nakula upepo wa bahari.
Kuna mwamba kaja na mwanamke pamoja na mtoto wa kiume i'm not sure ila wanaonekana kama familia mwamba kakodi boya kaenda kuogelea kamuacha bibie na mtoto.
Dakika tano mwamba karudi kumbe wakati anaenda kuogelea kamuachia simu bibie bad luck kumbe Angel kapiga simu bibie bila hiyana kapokea.
Mwamba concern yake ni kwa nini bibie kapokea simu naye bibie anataka kujua Angel ni nani? Kameibuka kamzozo mwamba kavaa nguo zake kasepa naye bibie kamchukua mtoto wake kasepa kiufupi Angel umeharibu siku ya watu.
KATAA NDOA
KATAA NDOA
PUNYETO FOR LIFE.
SawaAcha umbea mkuu, mahusiano ya watu yanakuhusu nini. Ugomvi wa mtu na mpenzi wake unaanzisha uzi kweli
Ndo umerudi kule Kule mwari wangu....kila mtu ashike simu yake. Kupeana nafasi ni muhimu, hakuna mkamilifu lazima kuna vitu usivyovipenda utavigundua na mtaanza kugombana.Ebo umeolewa sio mchepuko, so unahaki ya kushika simu yake na yeye ashike yako. Ila kwangu mie kweli ushikaji wasimu kwa wote sio poa maana utachanganyikiwa mana kila mtu anabiashara zake kazoeana na watu na mengine mengi.
Ila kwangu nitakuwa na simu ya home na ya biashara hii itasaidia privacy kidogo
Hapa tunaongelea kushika simu au kupokea?hivi ni vitu viwili tofauti,unapokea simu ya mwenzako alafu utaongea nini?unajua deals zake zote?Ebo umeolewa sio mchepuko, so unahaki ya kushika simu yake na yeye ashike yako. Ila kwangu mie kweli ushikaji wasimu kwa wote sio poa maana utachanganyikiwa mana kila mtu anabiashara zake kazoeana na watu na mengine mengi.
Ila kwangu nitakuwa na simu ya home na ya biashara hii itasaidia privacy kidogo
Nimesema nitapokea wala huwezi nifanya chochote labda nisiwe karibu na wewe. Kama unataka hivyoo basi usiniulize nimetoka wapi ona sawa tuHapa tunaongelea kushika simu au kupokea?hivi ni vitu viwili tofauti,unapokea simu ya mwenzako alafu utaongea nini?unajua deals zake zote?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mwanamke ana pepo.
Kwani hajui Angel ni Malaika? Anamjulia hali boss wake, kwa kuwa kila mtu ana malaika wake anayemlinda.
Huyo mwanamke ni Pepo. Ashindwe.
ha ha ha angel miguel gamondiNipo zangu kipande cha CocoBeach Time hii nakula upepo wa bahari.
Kuna mwamba kaja na mwanamke pamoja na mtoto wa kiume i'm not sure ila wanaonekana kama familia mwamba kakodi boya kaenda kuogelea kamuacha bibie na mtoto.
Dakika tano mwamba karudi kumbe wakati anaenda kuogelea kamuachia simu bibie bad luck kumbe Angel kapiga simu bibie bila hiyana kapokea.
Mwamba concern yake ni kwa nini bibie kapokea simu naye bibie anataka kujua Angel ni nani? Kameibuka kamzozo mwamba kavaa nguo zake kasepa naye bibie kamchukua mtoto wake kasepa kiufupi Angel umeharibu siku ya watu.
KATAA NDOA
KATAA NDOA
PUNYETO FOR LIFE.
KabisaaHuyo mwanamke ana pepo.
Kwani hajui Angel ni Malaika? Anamjulia hali boss wake, kwa kuwa kila mtu ana malaika wake anayemlinda.
Huyo mwanamke ni Pepo. Ashindwe.
Kosa moja halivunji ndoa.. Ndoa ni uwekezaji wa vitu vingiNipo zangu kipande cha CocoBeach Time hii nakula upepo wa bahari.
Kuna mwamba kaja na mwanamke pamoja na mtoto wa kiume i'm not sure ila wanaonekana kama familia mwamba kakodi boya kaenda kuogelea kamuacha bibie na mtoto.
Dakika tano mwamba karudi kumbe wakati anaenda kuogelea kamuachia simu bibie bad luck kumbe Angel kapiga simu bibie bila hiyana kapokea.
Mwamba concern yake ni kwa nini bibie kapokea simu naye bibie anataka kujua Angel ni nani? Kameibuka kamzozo mwamba kavaa nguo zake kasepa naye bibie kamchukua mtoto wake kasepa kiufupi Angel umeharibu siku ya watu.
KATAA NDOA
KATAA NDOA
PUNYETO FOR LIFE.
Kwenye jukwaa la Mapenzi, mahusiano na urafiki, ulitegemea ukute nyuzi za kutengeneza NOKIA tochi?nyuzi ndio hizi siku hizi?
Hivi unadhani ndoa maana yake ni kuondoa privace ya mwanandoa?Kwanini asipokee
Kwanini hana akili.Hivi unadhani ndoa maana yake ni kuondoa privace ya mwanandoa?
Kuna mmoja, mumewe alikuwa na kampuni. Akapata kazi huko Morogoro. Sasa mtoa kazi akapiga simu kwa mume wa huyo mke saa 2 usiku ili kupata uhakika wa kazi itafanyika kesho yake. Mke kwa kudhani anayepiga ni mchepuko, akapokea na kuanza kuporomosha mitusi..!! IKAWA MWISHO WA KAZI