Popote ulipo Angel Mungu anakuona

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Nipo zangu kipande cha Coco Beach time hii nakula upepo wa bahari.

Kuna mwamba kaja na mwanamke pamoja na mtoto wa kiume i'm not sure ila wanaonekana kama familia, mwamba kakodi boya kaenda kuogelea kamuacha bibie na mtoto.

Dakika tano mwamba karudi, kumbe wakati anaenda kuogelea kamuachia simu bibie; bad luck kumbe Angel kapiga simu bibie bila hiyana kapokea.

Mwamba concern yake ni kwanini bibie kapokea simu, bibie naye anataka kujua Angel ni nani? Kameibuka kamzozo mwamba kavaa nguo zake kasepa, bibie naye kamchukua mtoto wake kasepa. kiufupi Angel umeharibu siku ya watu.

KATAA NDOA
KATAA NDOA
PUNYETO FOR LIFE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom