Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,414
Reaction score
9,318
Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu.
na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa.
Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana.
Mwendo huohuo.
 
Sawa Ila Bado wapo mkuu!
 
Mimi siwapongezi. Kila siku tunapokea sms za tuma kwenye namba hii. Hawa ni akina nani?
 
Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu.
na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa.
Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana.
Mwendo huohuo.
Mkuu mbona huo ni wajibu wao ambao ndiyo kazi waliyoomba na kulipwa mishahara kwa jukumu hilo.
Wao ndiyo wanatakiwa watupongeze Watanzania kwa kuwavumilia uzembe wao wa muda mrefu ambao ulikuwa kero kwetu.
Pia watushukuru sana kwa kutoamua kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuwashtaki kwakuwa ni wengi wamepata hasara ikiwemo kutapeliwa na hao matapeli kutokana na uzembe wao wa kutowajibika ipasavyo kama mamlaka iliyokasimiwa jukumu hilo.
 
Back
Top Bottom