Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,332
- 5,288
- Thread starter
-
- #81
Lissu ajawahi kuwa mzalendo ziadi ya kusaka umaarufu wa kipumbavu na kuhudumiwa na mabwana zakeinawezekana ukawa uvccm wa kitengo cha propaganda. Jifunze kuheshimu watu na fahamu kuwa Lissu si adui wa taifa, zaidi Lissu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili
Hao ndio wataitoa Dola?
Unashikwa kama kuku?
Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada
umeajiriwa kula mshahara achana na ushetaniYaaan sahau.
Katika uhuni wote nchi hii umeona huo ndio uhuni na unastahili kuwa uhuni kuliko uhuni mwingine?Yaani wewe ukiniamini inisaidie nini? Lissu kwangu atabaki kuwa muhuni kwa ule ushenzi aliofanya kwenye chaguzi....
Michawa ya MBOWE mna chuki Dana aiseeHao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Nimeona video clip moja kumbe nyumbu walipata kichapo cha kutosha.Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Mwalimu pumzika kesho shule ukafundishe wanafunzi vizuri.Wajinga, mashetani na wapumbavu, ni wale wanaoua wapinzani kwenye chaguzi kisa hawakubaliki.
Kenge wewe!Hao ndio wataitoa Dola?
Unashikwa kama kuku?
Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada
Polisi wakiamua wanawezaJamaa kashikwa kama unamkamta kahaba wa manzese πππ
Huyo ndio anakuambia atakinukishaππ
Kwa hili polis mkoa wa Ruvuma wameharibu Sana, Kwa nn mikoa hiyo mwingine haijatokea vurugu? Kwa maoni yangu RPC anapaswa kujiuzulu.Mambo ya kisiasa inatakiwa yamalizwe kisiasa...Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Kushangilia kupiga raia sio sawa mkuu, ccm wasijifiche kwenye vyombo vya Dola wajibu hoja...Maboya hao wanabweka tu
Kipigo cha Leo awatosahau
Tunawauliza tena je hao ndio wanasema watazuia uchaguzi?
Wao nani?
Kwani ule uwongo wa Makala alikamatwa na polis? Kilichofanywa na polis Ruvuma ni KOSA kubwa Sana kimkakati, Bora wangesubiri mkutano uisheDemokrasia kutukana na kueneza upumbavu?
Lissu time hii akibadilikwa rangi mtasikia msiyotaka kusikia
Asijione yeye ni mjanja sana
Yeye ni mtu wa kawaida tu mbele ya Dola.
Amtafute Mrema Lyatonga ampe simulizi
Tatizo ccm wanazidiwa Sana hoja na lissu, wanashindwa kuzijibu...Nchi ilikuwa imeanza kunawiri kwa wapinzani kufanya mikutano yao, kamatakamata ya kipuuzi imeanza tena, hii ni hatari sana na si afya kwa taifa, ni aibu kwa mataifa yanayofuatilia siasa za nchi hii
Wee Massawe gani mjinga hivi?!!!Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Ana hali gani tena?Mwangalie Omari Mahita hali aliyo nayo sasa kama kielelezo cha ushetani.
Unayefuatia ni Wewe.