ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hay marafiki wote
Majaji tumefurahi sana kumpata Msanii bora ambaye kwa takriban
malongo n'tandatu tulikuwa na shindano la kumsaka MSANII huyo
Bora wa CC MUSIC AWARD 2013, ambaye ni Fixed Point
Pamoja na kuwa na migogoro na mikanganyo mengi toka kwa
washiriki waliokuwa kambini iliyopelekea mpaka tukawa na kikao
cha watendaji wote tuone tujue nani mbaya wetu humu mjengoni.
Ikafikia hatua ya kutaka tulifunge shindano hili kwani walikuja watu
wa kila namna ambao walitaka kuharibu na kuchakachua kura za
washiriki, wengine walijifanya wao ni majaji eti nao wamo kundini kama
huyu Sandeni ambaye aliwapotosha washiriki wetu nakusema kuwa
bado shindano linaendelea na kumbe alikuwa jaji feki asiye na sifa ya
kuwa jaji ambaye amewakanganya wengi lakini tulibaini kumjua na
kumfungulia kesi na.077 ya kifungu B/N2 nao iko mahakamani.
Naomba wana cc wote na wale watokao mikoani msijedanganywa
tena na nduli jaji feki Sandeni anayeharibu thredi za watu mjengoni hapa.
Shukrani: Ziwaendee majaji wenzangu: Bujibuji Mwakajambila na sosoliso Mvuoni
Ziwaendee waliopiga kura wote, na watazamaji wote na wote waliojitoa
kwa hali na mali kufanikisha shindano hili,
Washiriki wote waliotoka katika kinyanyiro hicho nawaomba wasikate tamaa
msimu ujao wajiandikishe huwezi jua labda wao wataondoka na helikopta
Onyo: kwa Sandeni (Asipofuta kauli yake hiyo aliyotoa, ajue kuwa anajipalia makaa bure)
Tahadhali: Naomba msherekee kwa amani, upendo, na urafiki bila hata kugombana
muwe wenye staha na wenye kupendana.
MSHINDI WETU TUTAMTUMIA GARI AINA YA VEROSSA MPAKA ALIPO:
CC MUSIC AWARD 2013
Wasaalamu;
Ladyf
Mratibu wa cc music award 2013
cc: Mtambuzi, Passion Lady, Heaven on earth, Lady doctor, Mamndenyi, MziziMkavu, Slave, Bishanga,
BAK, saudari, The secretary, amu, Arushaone, Erickb52, Liverpool, stevoh, Asnam, Arabela,
mwaJ, snowhite, FirstLady, sweetylady, Ruttashobolwa na marafiki wengineo niliowasahau

Last edited by a moderator: