Heheh ukome utoro.
Pengine ungeshinda wewe . . LOL!
Verossa !!!!! Sijui na mimi ndo gari nimnunulie Lady doctor? Eti ladyfurahia unanishaurije?
Bishanga unadhani mke wangu Lady doctor amekuwa mpira wa kona? KOMA!!
Bishanga unadhani mke wangu Lady doctor amekuwa mpira wa kona? KOMA!!
Asante sana mamiiAisee hongera zake!
ha haaa, yaani kuona nimepewa mie ndo nawe unataka kumhonga mke wa teja mwenzangu Arushaone?Verossa !!!!! Sijui na mimi ndo gari nimnunulie Lady doctor? Eti ladyfurahia unanishaurije?
ladyfurahia asante sana kwa kila kitu....
kuanzia kuandaa shindano mpaka kulisimamia na kupata mshindi...
umejitahidi kwa kweli.
Asante sana kwa pongezi na mchuma wa nguvu....
hii ndo ile Mentor aliianzishia uzi?
Barikiwa sana
usijari my dear rafiki.... tutalitumia wote...Mratibu jamani
mbona waniacha hoi,
yaani umeona only number one.
Ok as uchakachuaji ulikuwa mwingi
inaonyesha pia wewe haukuwa makini kuendesha hiyo kitu.
ha haaa, umeona sasa unapitwa?best nimeadimika kumbe,,,,hadi napitwa na mashindano kama haya,pongezi zako my beloved sisy Fixed Point
ha haaa, mtani kumbe hata wewe hukunipigia kura?Hivi kumbe kulikuwa na mashindano huku...
Hongera mtani wa mimi...
asante sana Passion lady......
mi kausafiri kangu ka toyo
kananitosha,hongera Fixed Point
asante sana my dear bro....Hongera sana Fixed Point
Mie najitolea kuproduzia songi moja la ukweli mwaka huu
Come come kwa studio
wahenga walisema asie kubali kushindwa ...............??
ha haaa, ni kweli kabisaaaaa....Fixed Point chukua tano
ha haaa, all the bestNiko underground, kuandaa watu kupinga zoezi lote na uratibu wote.
1. maamuzi hayakuwa ya haki
2. mshindi hakuchaguliwa kihalali, (majaji walitumia hisia) nasiyo idadi ya kura.
3. kampeni zilifanyika hata wakati wa upigaji kura...
4....ntaendelea