Pongezi kwa Fixed Point kuwa Msanii Bora wa CC MUSIC 2013

well-done.gif

Dada mkubwa Fixed Point.......
wow!
this is soooo cul....
thanx my mdogo Charminglady
 
ha haaa, mtani kumbe hata wewe hukunipigia kura?
sitakupa lifti

Hahaha natamani nikwambie soreeee kwa Kingoni lakini ndio siwezi mtani...

Unaonaje sasa nilipe deni langu kwa kukuandalia boooonge la pati...
 
booongeee la pati will do..... lol!
si unajua tena wangoni tunavyopenda kukina mpaka lukela! kama hujaelewa mwite snowhite akutafsirie....
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwani majaji tulipata kazi kubwa sana
kumpata mshindi wako washiriki walikuja nyuma ya pazia
na bahasha mkononi ashukuriwe Mungu tukawaondoa mapema

Hilo gari nimenunua jipya sana na sio lile alilolianzishia uzi mentor
la kwake lillikuwa white colour chek vizuri hilo limetoka Japan
likapaa hewani bila kupungua cc yake yaani limekuja na cc0000

Tunaandaa mashindano mengine kabambe ila hayo sasa yatakuwa
na mtafaruku kidogo kwani wengi watajoin kaa mkao wa kuwapigia kura
hao washiriki
u
ladyfurahia asante sana kwa kila kitu....
kuanzia kuandaa shindano mpaka kulisimamia na kupata mshindi...
umejitahidi kwa kweli.
Asante sana kwa pongezi na mchuma wa nguvu....
hii ndo ile Mentor aliianzishia uzi?
Barikiwa sana
 
Nashukuru sana kwani majaji tulipata kazi kubwa sana
kumpata mshindi wako washiriki walikuja nyuma ya pazia
na bahasha mkononi ashukuriwe Mungu tukawaondoa mapema

Hilo gari nimenunua jipya sana na sio lile alilolianzishia uzi mentor
la kwake lillikuwa white colour chek vizuri hilo limetoka Japan
likapaa hewani bila kupungua cc yake yaani limekuja na cc0000

Tunaandaa mashindano mengine kabambe ila hayo sasa yatakuwa
na mtafaruku kidogo kwani wengi watajoin kaa mkao wa kuwapigia kura
hao washiriki
u
ha haaa, nakuaminia mwandaaji wetu.....
nitakaa mkao wa kusikilizia
 
Back
Top Bottom