Pongezi kwa Fixed Point kuwa Msanii Bora wa CC MUSIC 2013

Pongezi kwa Fixed Point kuwa Msanii Bora wa CC MUSIC 2013

Fixed Point dada mpendwa naomba nipitie mkoko leo nina mtoko na shemeji wako afu ntakuletea mishkaki ya njia panda slipway
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, si unajua dada mkubwa yeye hana neno kwa wadogo zake...
hata ukitaka kukaa nayo mwezi mimi wala sina shida, nitakupa

ndo maana siwezagi kuacha kukulove you my sister!!!

barikiwa upate na nyingine ambayo ni 4WD!
 
Fixed Point dada mpendwa naomba nipitie mkoko leo nina mtoko na shemeji wako afu ntakuletea mishkaki ya njia panda slipway
ha haaa, sasa mdogo wangu mbona mkoko hujarudisha tangu juzi?
na ile mishikaki ndo iliishia wapi?
 
ndo maana siwezagi kuacha kukulove you my sister!!!

barikiwa upate na nyingine ambayo ni 4WD!
mimi tena.... dada mkubwa always atakuwa dada mkubwa.
Mwenzako amu alikuja kuazima juzi, na wewe ukitaka tu njoo nitakupa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom