Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

Inaonekana wewe ni msengerema yaani mwenyeji wa sengerema. Pombe wanywe wengine wewe laini yako ya tigo inabeep. Kwani wewe ndio mkuu wa mkoa? Acha machalii wajiharibu
 
Hallo wanaJF? Heri ya mwaka mpya.

Hii ni wiki ya pili nashuhudia vijana wa hapa mtaani wakinywa pombe za kwenye karatasi almaarufu kiroba nikawauliza "Oya vipi machalii hizo zaga mmeokota jalalani nini? Wakanijibu Bushmamy mbona haya makitu yapo tele chuga hapa"
Wanaendelea kaniambia, "Kama vip fanya maniaje ni aje (Yaani hela) tukakuletee hata sasa hivi".

Nikala ganzi siku Ikaisha. Maana walikuwa na pakiti za kutosha wanazifyonza tu.

Siku ya Pili:
Nacheki na chalii mwingine nikamuuliza vipI dogo Malaga yale mmeokota wapi akanijibu hayo makitu yapo na yanauzwa tu mbona ila kwa siri kwa hiyo kuna uwezekano kuna sehemu wanazalisha.

Ila jamani twende mbele turudi nyuma Machalii wa Arusha pombe, bangi, inawamaliza, utumiaji wa pombe wa vijana hapa wengi ni zile kali na sio bia unakuta pombe hapa inauzwa buku au buku mbili lakini alcohol iliyopo ndani yake 40.

View attachment 1310237
Tushukuru serikali kuvipiga marufuku viroba bila hivo tungezika wengi Sana hasa kipindi hiki chenye ugumu Wa maisha
 
We kichwa maji soma hapa chini👎

hata hapa East London inapatikana kwa kiwango cha juu sana
 
We kichwa maji soma hapa chini👎
Pale Kampala gongo ni pombe halali kabisa wanaiita Uganda waragi.
Sema tu Bushmamy hujawahi kutoka nje ya mkoa wako. umezaliwa Shinyanga, umekulia Shinyanga, umeolewa Shinyanga na unaishi Shinyanga.
 
Viroba vya bilioni moja kwa hela ya mkopo viliuwa mfanyabiashara dodoma alijinyonga
 
Sababu za kuzuiwa kwa viromba moja wapo ilikuwa ni kuzuia ulevi holela kwa vijana ambao ni taifa la kesho!

Hii tu kwa maoni yangu naona ilikuwa sio sahihi au labda kuna wafanya biashara waliwanunua wanasiasa uchwara!

Angalia! Baada tu ya viroba kufungiwa pametokea utitiri wa pombe kali za bei nafuu. Vibanda vya wamachinga vilivpo maeneo ya mikusanyiko ndo vinauza pombe kali kuliko groceries!

Wamepunguza unywaji pombe wa hao vijana? Au wameongeza!?

Sent using Redmi Y2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom