Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

Arusha unywaji wa beer uko chini sana vijana wanapiga ivi vipombe vya 2000 au 2500 Ajabu sasa alcohol volume 40% niliwahi test diamond na Rivella ni hatari sana viliniwasha balaa ila chap tu vinatoka pia mwilini ukipigwa na baridi

Alch 40% Mara 4.... Ni hatari. Rivela kitoko c mchezo....
 
Inatokana na baridi ya arusha ndo maana wanakunywa vitu vikali kama Urusi
Arusha unywaji wa beer uko chini sana vijana wanapiga ivi vipombe vya 2000 au 2500 Ajabu sasa alcohol volume 40% niliwahi test diamond na Rivella ni hatari sana viliniwasha balaa ila chap tu vinatoka pia mwilini ukipigwa na baridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamiloo acha usoro kutuchoma unaleta mambo ya kinjeree watu tumechoka na hili life tunauza haya mazagaa tulishe familia we unakuja kutuanika unayumba acha kuleta mambo meusi

Waambie wapoloo hayo makitu ninayo wazame apo kwa fasi ya duasi mitaa Fulani Hivi ya sinoni ninayo unanipa mtonyo nakupa zaga ukileta mambo ya kiwaki nitakuchezesha kingaleloo mpako ujute waulize wahuni wa ngareseroo wananijua Mimi ni nani hata mitaa Fulani sanawari nimechafua mbaya machalii wote wananijua haikatai haikatox

Ni sifa nzuri?
Vijana wa arusha ni kama vijana wa mzee Mandela wanapenda starehe kuliko kazi.
Mgeni ukienda ukatoboa maisha wanakuja kukuibia hata kukuua.
Mkuu mtu anakunywa kitu chenye alcohol 40% unamuita mchumba.
Mchumba ni yule anayekunywa vi kesto,safari etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom