Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,416
Reaction score
18,443
Hallo wanaJF? Heri ya mwaka mpya.

Hii ni wiki ya pili nashuhudia vijana wa hapa mtaani wakinywa pombe za kwenye karatasi almaarufu kiroba nikawauliza "Oya vipi machalii hizo zaga mmeokota jalalani nini? Wakanijibu Bushmamy mbona haya makitu yapo tele chuga hapa"
Wanaendelea kaniambia, "Kama vip fanya maniaje ni aje (Yaani hela) tukakuletee hata sasa hivi".

Nikala ganzi siku Ikaisha. Maana walikuwa na pakiti za kutosha wanazifyonza tu.

Siku ya Pili:
Nacheki na chalii mwingine nikamuuliza vipI dogo Malaga yale mmeokota wapi akanijibu hayo makitu yapo na yanauzwa tu mbona ila kwa siri kwa hiyo kuna uwezekano kuna sehemu wanazalisha.

Ila jamani twende mbele turudi nyuma Machalii wa Arusha pombe, bangi, inawamaliza, utumiaji wa pombe wa vijana hapa wengi ni zile kali na sio bia unakuta pombe hapa inauzwa buku au buku mbili lakini alcohol iliyopo ndani yake 40.

DSC_0240.JPG
 
Hiyo rider nilikutana nayo mbeya 2011-2014,

Ni fire aiseee.. Afu kiroba kikubwa ni 400 tu

Yaani ukipiga vi4 au vi5 ,, ujue wewe ni shindikanaa.

Konyagi mchumba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha unywaji wa beer uko chini sana vijana wanapiga ivi vipombe vya 2000 au 2500 Ajabu sasa alcohol volume 40% niliwahi test diamond na Rivella ni hatari sana viliniwasha balaa ila chap tu vinatoka pia mwilini ukipigwa na baridi
 
Upigwe msako mkali, tutaishia kutengeneza taifa la vijana walevi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom