Pombe ni Ndugu wa madeni

Sijafika 50 am over 40. Inawezekana ni uzee wangu..haya kaka endelea kula maisha
Miaka hiyo tunahitaji hekhima yako tu mkuu mana kufika hapo ni jambo kubwa sana na bado una afya njema SHUKURU.
 
Wacha woga, hakuna gari inauzwa 10k, hakuna nyumba inauzwa 100k haaa haaa mwagilia moyo!!
Ni furahaaaa kulewa na marafikii, ni furahaaa kunywa na mrafikiii.. sisi ni waleviii
 
Wacha woga, hakuna gari inauzwa 10k, hakuna nyumba inauzwa 100k haaa haaa mwagilia moyo!!
Ni furahaaaa kulewa na marafikii, ni furahaaa kunywa na mrafikiii.. sisi ni waleviii
Watu mliotoboa kimaisha mnatabu sana mkuu
 
Unalipwa TGS B then uwe mlevi wa kupindukia.

Hapa madeni lazima yakuandame.

Sometimes pombe inaendana na Income.
 
C
Afadhali nyinyi aisee mimi nikinywa pombe nakuwa na sifa za kijinga kabisa lazima niache keep change na keep change si chini ya laki 1.
Asubuhi naaza kujuta kabisa shenzi zangu.
Barmaid wakiona gari yangu tu wanaanza kuikimbilia kama kumbikumbi wanaacha kuhudumia wateja wengine wanakuja kwangu basi bichwa linavimba kwa sifa.
Band za wacongo wakija kutumbuiza lazima waniite jina langu Kama wanavyoitwa papaa msofe au ndama mtoto wa ng'ombe naenda kuwatupia laki mbili .
Nikiamka asubuhi najuta mno ,Zitakuja kunifirisi kimasihara
Chai
 
Back
Top Bottom