Pombe ni dhambi, acha kuitumia

Dogo pambania maisha yako. Achana na mambo ya pombe. Sie wanywa pombe sio sababu wewe kuwa na maisha magumu! Achana na sisi!
 
Jinga sana wewe. Umeshaingia kwenye mfumo. Yesu mwenyewe muujiza wake wa kwanza ilikuwa kutengeneza pombe
 
Pombe si dhambi moja kwa moja, bali ulevi na kutawaliwa na pombe ndo dhambi.

Usinywe maji tu, bali tumia divai kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na kwa sababu ya maradhi yako ya mara kwa mara.
1 Timotheo 5:23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…