Polls: King of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF King of MMU 2011"?

  • Mbu

    Votes: 28 43.1%
  • The Boss

    Votes: 37 56.9%

  • Total voters
    65
  • Poll closed .
hata aliyeleta kondom alipingwa vikali
lakini haimaanishi hakukuwa na Ukimwi.

'The Boss for responsible people'

Kama ulielewa, ule uzi ilikuwa 'doing the wrong thing right'
hata ukatae vip, nyumba ndogo ni atizo ambalo lipo kwenye jamii yetu.

Sikatai kuwa nyumba ndogo zipo......ila points za Mbu ni full maujazooo!! Heheh.....hata hivyo najua upo kifamilia zaidi....lol!!
 
dah, mpaka ss mchuano mkali kweli! wish u guyz mfungane jaman! kila la kherii!
 
voting-closed.gif
 
mkuu kweli wa bongo noma walipiga kula wachache watakaoponda matokeo wako milioni

Hili ni tatizo la kitaifa, mimi nilidhani ni huku mitaani tu ndipo watu wamekata tamaa ya kushiriki kupiga kura, kumbe hata kwenye mitandao, tena mtandao mkubwa kama JF nako watu ni wavivu wa kupiga kura.

Kama ulivyobashiri, sasa tusubiri wataalamu wa kuponda waanze kazi zao, utawapenda bure!!
 
Mwita Maranya,

on point, unakumbuka uchaguzi wa 2010, waliopiga kura kulinganisha na waliojiandikisha hakikulingana.

Nadhani bado tunahitaji elimu ya kupiga kura sana.
 
Una sababu za kisayansi ni kwa nini watu wengi hawakupiga kura licha ya kwamba thread ilikuwa viewed na watu wengi zaidi?

  1. Dharau; kwamba ya kazi gani?
  2. Kutoridhika na list ya watu walowakilisha hapo?
  3. Kukata tamaa kua hata akipiga yule anaemtaka ashinde aonekana nyuma hivo haina haja..
  4. Kuona kama ni mchezo wa kijinga wala haina Mantink.
  5. Kutojua namna ya kupiga, na hawezi uliza kwa aibu.
  6. Kutojua kua kupost tu post kua wamkubali mtu haina mana umepiga.
  7. Kuridhika kua yule ambae anampenda yupo mbali hivo sio lazima kupiga for ni dhahiri kadhida.
  8. Nature ya kukosa ushirikiano.
  9. Mwingine anaogopa anahisi mda wake wa bundle utapungua endapo atapiga na inabidi atumie vizuri.
  10. Mwingine aamini tu mashindano haya for whatever reasons.....

Nimejibu kwa niaba ya Ndetichia maana tupo kamati moja, For starters zatosha nilizo taja?
 
Kwa heshima na taadhima The Boss fanya kama alivyofanya AshaDii kwa Lizzy, Mbu is our King :lol::lol::lol:
 
  1. Dharau; kwamba ya kazi gani?
  2. Kutoridhika na list ya watu walowakilisha hapo?
  3. Kukata tamaa kua hata akipiga yule anaemtaka ashinde aonekana nyuma hivo haina haja..
  4. Kuona kama ni mchezo wa kijinga wala haina Mantink.
  5. Kutojua namna ya kupiga, na hawezi uliza kwa aibu.
  6. Kutojua kua kupost tu post kua wamkubali mtu haina mana umepiga.
  7. Kuridhika kua yule ambae anampenda yupo mbali hivo sio lazima kupiga for ni dhahiri kadhida.
  8. Nature ya kukosa ushirikiano.
  9. Mwingine anaogopa anahisi mda wake wa bundle utapungua endapo atapiga na inabidi atumie vizuri.
  10. Mwingine aamini tu mashindano haya for whatever reasons.....

Nimejibu kwa niaba ya Ndetichia maana tupo kamati moja, For starters zatosha nilizo taja?

Asante dada kwa majibu yako mazuri na ya kuridhizisha, ila usinichoke na ninakuheshimu kama mmoja wa Madada wachache wenye hekima na busara tele hapa JF na ungekuwa Moderator ungekuwa mshauri mzuri pale Member anapokosea.
Na huyu Ndetichia mpo nae kamati moja ipi hiyo!?
 
Back
Top Bottom