Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupitia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi.

Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na hatia wakaishiwa na mabomu na kulazimika kuagiza kambi nyingine Kilichowakuta ndio hicho
!!??
??!!Tukutane O!!ctober 25
/,
Huu uzi wa kinafiki eeti polisi walikuwa wakishughuylikia watu wasio na hatia.wewe ni ?????@!?!mahakama?w
 
hawajafa tu hawa mbwa wa CCM? ngoja nao waonje mauti ili wajue yanavyofanana maana ni siku nyingi wamekuwa wakiwaua raia wasiokuwa na hatia!
 
Haya Mabom Nayo Yanalipukaje! Yanashindwa Kuua Hata Mmoja!
 
Unatambua kwamba na wao ni member hapa JF sasa usije ukasukumiwa pila la sheria mpya.

kwani poliCCM wao hawatakiwi kuambiwa ukweli mkuu? ulitaka wawaue ndugu zetu mpaka lini ndipo nao waonje mauti? acha upumbaFU ndugu yangu.
 
/,
Huu uzi wa kinafiki eeti polisi walikuwa wakishughuylikia watu wasio na hatia.wewe ni ?????@!?!mahakama?w

mknd (mkanda) wako! wewe ulitaka raia walipuliwe hadi lini ndipo na poliCCM waanze kujilipua? punguza ashki wewe mtoto wa kike!
 
Poleni sana askari wote mlioumia. Mungu awajalie mrudi katika afya zenu.

mkuu unashangaza sana. utawaombeaje hao mbwa wanaowaua ndugu zetu kila kukicha? nakushangaaa sana.
 
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi.

Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na hatia wakaishiwa na mabomu na kulazimika kuagiza kambi nyingine Kilichowakuta ndio hicho

Tukutane October 25

Ndugu Usione Fahari Kusema Uwongo kwa Utashi wa Kuwaridhisha mabwana zako au vyenginevyo sema ukweli ijapokuwa ni chungu si amini kama dini yako inakupa uluwa au fursa ya kusema Uwongo

Kama kweli police wamekwenda kuongeza mabomu je sehemu gani palitokea tukio la kupelekea police wakaengeze mabomu? Sasa hebu twambie sehemu gani ilitokea fujo?

Kwa msada wa mimi niliyokuwepo katuka lile tukio si hasha pengine wewe hizi picha umetumiwa na umekuja wakati winji linapakia gari

Sasa naomba niwambie wana jamii ukweli hawa askari walikuwa wanatokea Mjini wanakwenda Kaskazini Wakiwa hawazidi Askari 5 ulikuwa mwendo wa wastani si mbia sana wala si kidogokido kwa bahati kama unavuijuwa kaskazini Unguja namna na Madaraja yake yalivyojengwa tena enzi za Rais wa Kwanza Mh Abeid A Karume wakati police wanaingia katika mkutano wa Daraja Tayari kuna gari nyengine imesheingia na daraja moja haliruhusu kupita gari mbili na kwa vile ajali imeshaandikwa na Mungu Dereva wa Gari ya Police ikabidi katika kufunga Break gari ikamshinda na Kuangukia Msituni

Na kwa bahati katika Kudadisi pale jibu kuwa Askari wale walikuwa wanakwenda Kumuhamisha Mkubwa wao wa askari ambae amepata Transfer ya kikazi kutoka Kaskazini na kwenda Kufanya kazi katika Eneo jengine na Askari aliyeamuia zaidi yule ambae hajasimama na hakuiyona ajali aliumia zaidi katika Sehemu za tire

kwa kweli wana jamii tujifunze kusema ukweli itatusaidia sote kwa lengo la Kujenga
 
mkuu unashangaza sana. utawaombeaje hao mbwa wanaowaua ndugu zetu kila kukicha? nakushangaaa sana.

Hapana ndugu, wao nao ni binadamu kama sisi, so wanapokuwa katika shida wanahitaji maombi kama binadamu wengine. Maumivu wanayoyapata ni maumivu ambayo binadamu wote wanaweza kuyapata katika ajali kama hizo. Hata hivyo tusiwahukumu hawa polisi wadogo wadogo, wao wanatekeleza tu amri kutoka kwa wakubwa wao ili kulinda vibarua vyao vinavyowasaidia wao na familia zao.

Tukiachilia mbali masuala ya siasa (ambayo kila kukicha lazima waingie kwenye lawama- hata mimi sikubaliani nao), kuna wakati polisi wanafanya vizuri katika suala la ulinzi wa amani. Hebu fikiria siku moja jeshi la polisi litangaze tu kwamba "leo hakuna askari yeyote kufanya kazi yoyote" hali itakuwaje? Hebu fikiria kipindi hiki cha uchaguzi, watu wengi wana mihemko mbalimbali hasa zinapokuja tofauti za itikadi za kisiasa.........polisi wakaamua kuacha tu kila mmoja afanye anavyotaka, hali itakuwaje? Unaegemea mashabiki wa CCM na Chadema wataumizana kiasi gani?

Tuwaombee tu, huu ndo ubinadamu.
 
Walipukiwe tu tumechoka!!!!!

Hapana, askari ni ndugu zetu, uaskari ni kazi kama zingine, walikuwa katika kutekeleza majukumu yao, tuwaombee tu hata wewe unaweza pata ajali yoyote,popote ukiwa unafanya lolote..ajali haina kinga
 
Ndugu Usione Fahari Kusema Uwongo kwa Utashi wa Kuwaridhisha mabwana zako au vyenginevyo sema ukweli ijapokuwa ni chungu si amini kama dini yako inakupa uluwa au fursa ya kusema Uwongo

Kama kweli police wamekwenda kuongeza mabomu je sehemu gani palitokea tukio la kupelekea police wakaengeze mabomu? Sasa hebu twambie sehemu gani ilitokea fujo?

Kwa msada wa mimi niliyokuwepo katuka lile tukio si hasha pengine wewe hizi picha umetumiwa na umekuja wakati winji linapakia gari

Sasa naomba niwambie wana jamii ukweli hawa askari walikuwa wanatokea Mjini wanakwenda Kaskazini Wakiwa hawazidi Askari 5 ulikuwa mwendo wa wastani si mbia sana wala si kidogokido kwa bahati kama unavuijuwa kaskazini Unguja namna na Madaraja yake yalivyojengwa tena enzi za Rais wa Kwanza Mh Abeid A Karume wakati police wanaingia katika mkutano wa Daraja Tayari kuna gari nyengine imesheingia na daraja moja haliruhusu kupita gari mbili na kwa vile ajali imeshaandikwa na Mungu Dereva wa Gari ya Police ikabidi katika kufunga Break gari ikamshinda na Kuangukia Msituni

Na kwa bahati katika Kudadisi pale jibu kuwa Askari wale walikuwa wanakwenda Kumuhamisha Mkubwa wao wa askari ambae amepata Transfer ya kikazi kutoka Kaskazini na kwenda Kufanya kazi katika Eneo jengine na Askari aliyeamuia zaidi yule ambae hajasimama na hakuiyona ajali aliumia zaidi katika Sehemu za tire

kwa kweli wana jamii tujifunze kusema ukweli itatusaidia sote kwa lengo la Kujenga

Dah ivi ume pitia ulicho andika au!
 
Niongeze nyingine ya baridi ili furaha tangu iongezeke
 
Back
Top Bottom