Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi.
 
Attachments

  • 1442078917509.jpg
    1442078917509.jpg
    83 KB · Views: 5,272
  • 1442078935599.jpg
    1442078935599.jpg
    45.1 KB · Views: 4,532
  • 1442078956865.jpg
    1442078956865.jpg
    84.9 KB · Views: 4,677
Acha wapate hizo ajali kwa maana kuwa wanatakiwa Waka some na kupata mafunzo ya namna ya kuzuia ajali
 
Watu wako katika maombi wakati huu kuelekea uchaguzi,cha msingi watu watende haki kuepusha laana toka kwa Mungu
 
Poleni sana askari wetu, allah awatie nguvu wale mlio umia, ila jueni ni makosa kwenda kasi kwa kusudi tu la kwenda kuwalipulia ndugu zenu mabomu, Mola naye anajua kugeuza kibao.
 
Acha wapate hizo ajali kwa maana kuwa wanatakiwa Waka some na kupata mafunzo ya namna ya kuzuia ajali

Unatambua kwamba na wao ni member hapa JF sasa usije ukasukumiwa pila la sheria mpya.
 
Pole zao.
Lakini unafikiri huwa wanaelewa lolote hawa, sijui walilogwa mim huwa nashindwa kuwaelewa.

Poleni sana askari wetu, allah awatie nguvu wale mlio umia, ila jueni ni makosa kwenda kasi kwa kusudi tu la kwenda kuwalipulia ndugu zenu mabomu, Mola naye anajua kugeuza kibao.
 
Back
Top Bottom