Ndugu Usione Fahari Kusema Uwongo kwa Utashi wa Kuwaridhisha mabwana zako au vyenginevyo sema ukweli ijapokuwa ni chungu si amini kama dini yako inakupa uluwa au fursa ya kusema Uwongo
Kama kweli police wamekwenda kuongeza mabomu je sehemu gani palitokea tukio la kupelekea police wakaengeze mabomu? Sasa hebu twambie sehemu gani ilitokea fujo?
Kwa msada wa mimi niliyokuwepo katuka lile tukio si hasha pengine wewe hizi picha umetumiwa na umekuja wakati winji linapakia gari
Sasa naomba niwambie wana jamii ukweli hawa askari walikuwa wanatokea Mjini wanakwenda Kaskazini Wakiwa hawazidi Askari 5 ulikuwa mwendo wa wastani si mbia sana wala si kidogokido kwa bahati kama unavuijuwa kaskazini Unguja namna na Madaraja yake yalivyojengwa tena enzi za Rais wa Kwanza Mh Abeid A Karume wakati police wanaingia katika mkutano wa Daraja Tayari kuna gari nyengine imesheingia na daraja moja haliruhusu kupita gari mbili na kwa vile ajali imeshaandikwa na Mungu Dereva wa Gari ya Police ikabidi katika kufunga Break gari ikamshinda na Kuangukia Msituni
Na kwa bahati katika Kudadisi pale jibu kuwa Askari wale walikuwa wanakwenda Kumuhamisha Mkubwa wao wa askari ambae amepata Transfer ya kikazi kutoka Kaskazini na kwenda Kufanya kazi katika Eneo jengine na Askari aliyeamuia zaidi yule ambae hajasimama na hakuiyona ajali aliumia zaidi katika Sehemu za tire
kwa kweli wana jamii tujifunze kusema ukweli itatusaidia sote kwa lengo la Kujenga